Kabayser
Member
- Mar 6, 2013
- 78
- 18
Kwa mimi binafsi nahisi kuwa kuna baadhi ya magonjwa huwa yanawandama sana wanawake sehemu zao za siri ambayo ni kamavile fangasi n.k nikimaanisha yale magonjwa ya ngozi kwa sehemu nyeti ambayoo hayo magonjwa yanasababishwa na kumaliza kuoga na asijifutee vizuri zilee sehem sasa yamempata akaona apake dawa na kutoo vaachupi Coz chupi nayo huwaa ina ongezaa maumivu kwa lilee joto Superman.
Wana Forum;
Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .
Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.
Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:
Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?
Last edited by a moderator: