Kwanini baadhi ya Wasomali wakifika Kenya wanabadili dini na kuacha uislam?

Kwanini baadhi ya Wasomali wakifika Kenya wanabadili dini na kuacha uislam?

Si ukawaulize wenyewe ?? Sasa unatuuliza sisi kwani ndo tuliofanya hivo ???
 
Ukiruhusu si ina kua kama kule Indonesia uislam unaputukika kila kila siku

Ilan kwa mda tu wa mwaka mmoja waislam milion moja waliihama dini yao na kumpokea KRISTO YESU
 
Back
Top Bottom