Kwanini baadhi ya Wasomali wakifika Kenya wanabadili dini na kuacha uislam?

Kwanini baadhi ya Wasomali wakifika Kenya wanabadili dini na kuacha uislam?

hii ni Al jazeera estimate watu 270million walikufa kutokana na vita ya jihad

Hivi unajua kusoma na kuelewa lugha ya kiingereza au unababiababia tumaneno unatotuelewa
Umeelewa dhana ya huo ujumbe kama umeletwa kuhakiki au kukejeli ujumbe wa mfia ugalatia?
 
Mkuu hiyo habar si naww unaweza kutweet??
Hicho n chombo cha kuaminika??au n mfia dini mmoja ameamua kutweet
Kwamba Mao na Stalin huwajui na mauaji waliyofanya ama una habari nyengine kwamba hao jamaa hawajafanya alicho claim jamaa hapo?
 
Hivi unajua kusoma na kuelewa lugha ya kiingereza au unababiababia tumaneno unatotuelewa
Umeelewa dhana ya huo ujumbe kama umeletwa kuhakiki au kukejeli ujumbe wa mfia ugalatia?
Punguza hasira! usije ukanilipua
 
Muislam kuacha uislam na kwenda kwenye dini za waliokufuru ni nadra sana na hutokea mara chache
 
Muislam kuacha uislam na kwenda kwenye dini za waliokufuru ni nadra sana na hutokea mara chache
Kwasababu ya uongo,hasira,chuki malalamiko wanayopandikizwa ! yaan unakua kama uraibu fulan
 
Kwasababu ya uongo,hasira,chuki malalamiko wanayopandikizwa ! yaan unakua kama uraibu fulan
Yeah ni kweli na sababu zingine waislam wanaamini Mungu ni mmoja tu aliumba mbigu ardhi na kila kitu, sasa ukianza kumwambia muislam kuwa Yesu ni mungu anakuona we ni chizi sasa mungu gani aliuliwa na viumbe wake?
Ndo hapo hawezi kukubali kubadilisha dini.
 
Hamna anaetaka mtu abadili dini!!
Ijueni kweli nayo itakuwekeni huru!!
Mungu wa kweli hana hasira na chukii,visasi na ubaguzi!
Tofauti ya hapo n moto
 
Wakimbizi wengi wa kisomali wanabadili dini wakofika kenya.Hii ni kwa sababu serikali ya kenya inaruhusu kila dini tofauti na nchini kwao ambako wanauliwa kisa dini!

Wasomali wanasema wamefanya au kufuata ukristo kwa miaka kumi kisiri siri wakiwa somalia.

Huu mkasa unafanana na iran

Je kama somali ingekua na uhuru si wasomali wote wangehama.

=======

Nairobi's Eastleigh Estate has become known as Little Mogadishu

Their prayer session is simple and conducted in Somali. Elders take turns to pray or read verses from the Somali Bible before a sermon is delivered.

There are dozens of Somalis living in Nairobi who have converted from Islam to Christianity.

Some say they have been practising Christianity for more than 10 years.

But they live in constant fear of persecution from members of the Somali community, which is predominantly Muslim.

There is a sizeable Somali community in Kenya, comprising ethnic Somali Kenyans, and a large number of refugees from Somalia.

Most of the community lives in Nairobi's Eastleigh Estate, which is now referred to as Little Mogadishu, after Somalia's capital.

Fundamentalist threat

Many of the refugees fled the war in Somalia.

For a few, it was the threat of religious persecution that forced them to leave their homes and seek refuge in Kenya.

o.gif

start_quote_rb.gif
There was a small fellowship that used to meet in my house, about 12 of them - six of them were killed
end_quote_rb.gif

Michael
Somali Christian refugee

"There was a group of people who wanted to kill me, so I was one of the first refugees to leave Mogadishu because I knew I would be a target as soon as the government collapsed," says Michael, one of the converts.

"The fundamentalists could easily attack me and kill me," he says.

Some of his fellow converts were not so lucky.

"They killed some of my friends. There was a small fellowship that used to meet in my house, about 12 of them - six of them were killed," he says.

Despite fleeing to Kenya, where Christianity is the major religion, life has still not improved for the Somali Christians.

They say they have suffered at the hands of their families and fellow Somalis in Kenya who are angry with their decision to change their religion.

They have been targets of physical attacks and beatings. In other instances, they have had their wives and children taken away from them.

Outcasts

To ward off these reprisal attacks, many hold on to their Muslim names in an attempt to blend in.

Away from home and rejected by their community, the converts say they have been forced to live as outcasts.

The Council of Imams and Preachers of Kenya (CIPK) has rejected claims that the Somali Christians are facing persecution.

Eastleigh, Nairobi

Some say they have suffered at the hands of fellow Somalis

"We are very saddened by these claims because Islam gives people the freedom to choose their faith," said Sheikh Hassan Omar, a CIPK official.

"I don't believe the stories by the Somali Christians that they have faced persecution because they converted to Christianity. These are lies," Sheikh Omar said.

He said Kenya has freedom of religion and association, and that the Somali Christians have the freedom to practise their faith and congregate and worship with other Christians.

He dismissed the claims as a ruse to get try to get asylum in the US and other Western countries.

"I would advise them, if they want to go [to the US], they should look for other channels and should not involve Islam and Muslims in the issue."

But Khatazar Gondwe from Christian Solidarity Worldwide, which has been lobbying for protection for the Somali Christians, says there is a problem.

"We have been in contact with the UNHCR (United Nations High Commission for Refugees) in Geneva who have acknowledged that this is an issue," Ms Gondwe says.

Numbers growing

The Somali Christians living in Kenya complain that the UNHCR in Nairobi has not been responsive to their plight.

"According to the refugees, in some cases [the UNHCR] are very unsympathetic, if not hostile, and tell these poor people to go back to camps before they will deal with them," Ms Gondwe says.

"In those camps, these people are in greater danger than they are even in Nairobi itself."

The UNHCR office in Nairobi has denied these claims, saying all refugees get an opportunity to present their case and receive the necessary protection.

UNHCR spokesman Emmanuel Nyabera says the agency has responded to a few cases concerning Somali Christians, but adds that some cases were rejected after they discovered that they were not genuine.

Despite the hardships the face, this unique group of Christians says its numbers are growing.

In the late 1990s, there were barely 20 Somali Christians in Nairobi, but now their number is close to 200, they say.

And they pray that one day they will be accepted by a society that jealously guards its religious beliefs.
Chanzo: BBC NEWS

Hamna kitu kinaitwa dini ya kiislam. Ukweli ni kwamba ni desturi, mila na tamaduni za kiarabu ambazo kwa kiasi fulani kinahusisha imani ya watu hao. Wasomi wengi wanauita uislam kuwa ni desturi za kiarabu kwa maana zinachukua maeneo yote zaidi ya imani. Inachukua maeneo yote hata yasiyo na uhusiano na imani kama vile upishi wa chakula, usanifu wa nyumba, lugha, mavazi, kutembea, kuimba, maingiliano na serikali, sheria, elimu, nk. Uislam unasadifu sana kwenye nchi zenye desturi za kiarabu kwa kuwa huko ndiyo kwenye misingi hiyo. Lkn nje ya ulimwengu wa kiarabu, uislamu (ambayo mimi naita desturi za kiarabu) ni mzigo kwa kuwa desturi za kigeni zinalazimishwa kuingia kwenye mazingira ambayo siyo rafiki kwa mila na desturi hizo kiarabu.

CC: kahtaan
FaizaFoxy
 
Hamna anaetaka mtu abadili dini!!
Ijueni kweli nayo itakuwekeni huru!!
Mungu wa kweli hana hasira na chukii,visasi na ubaguzi!
Tofauti ya hapo n moto
Yule wa pope francis anaebariki ushoga hawezi kuwa wa kweli
 
Yule wa pope francis anaebariki ushoga hawezi kuwa wa kweli
Atleast hayo n maamuzi yake hamna popote kwene biblia imeandikwa.

Yule shekhe anaelawiti watoto 15 mafia??
ndo maagizo?!

Nadhan hapo umetofautisha ss
 
Ukiristo inafundisha mpende jirani yako kama unavyojipenda

Unaenda mbali zaidi inafundisha akupigaye shavu la kulia mgeuzie na la kushoto

Sasa Ile dini yetu inafundisha jino kwa jino

Inafundisha kuua makafiri wasio wa imani yako
Kama nchi Ina mchanganyiko wa imani ukaanza kuu wa imani tofauti
Hao walipa hiyo Kodi utapata wapi??

Ile dini haijielewi. Hawajui wanataka nini. Maana Sudan , Yemen, Somalia, Iraq, Syria nk wanapiga na kuuana wakati wote ni waisilamu
 
Atleast hayo n maamuzi yake hamna popote kwene biblia imeandikwa.

Yule shekhe anaelawiti watoto 15 mafia??
ndo maagizo?!

Nadhan hapo umetofautisha ss
Kati yako wewe na pope francis aliebariki ushoga nani anaeujua ukristo zaidi?
 
Hamna kitu kinaitwa dini ya kiislam. Ukweli ni kwamba ni desturi, mila na tamaduni za kiarabu ambazo kwa kiasi fulani kinahusisha imani ya watu hao. Wasomi wengi wanauita uislam kuwa ni desturi za kiarabu kwa maana zinachukua maeneo yote zaidi ya imani. Inachukua maeneo yote hata yasiyo na uhusiano na imani kama vile upishi wa chakula, usanifu wa nyumba, lugha, mavazi, kutembea, kuimba, maingiliano na serikali, sheria, elimu, nk. Uislam unasadifu sana kwenye nchi zenye desturi za kiarabu kwa kuwa huko ndiyo kwenye misingi hiyo. Lkn nje ya ulimwengu wa kiarabu, uislamu (ambayo mimi naita desturi za kiarabu) ni mzigo kwa kuwa desturi za kigeni zinalazimishwa kuingia kwenye mazingira ambayo siyo rafiki kwa mila na desturi hizo kiarabu.

CC: kahtaan
FaizaFoxy
Hao "wasomi" wako hawajaelimika, wamesomea ujinga, bahati mbaya sana nawewe wamekujaza ujinga walionao.

Tazama wasomi walioelimika hawa:

View: https://youtu.be/ZKetWZeTjI4?si=Sboi71IVdKATgJ0c
 
Back
Top Bottom