Kwanini baadhi ya Wasomali wakifika Kenya wanabadili dini na kuacha uislam?

Kwanini baadhi ya Wasomali wakifika Kenya wanabadili dini na kuacha uislam?

mkuu ila ukweli unaujua ww
😀 😀 😀Soma jihad kwa kupitia vitabu kama Qur an , kuna jihad ya nafsi yaani vita ni mwisho kabisa mtu anapokushambulia .

Jihad ya kujitolewa kama kujenga msikiti ,sehemu ya kusome kila u alofanya kuleta juhudi katika watu kumjua Mungu ni jihad , achana kina othman don fodia
 
Uisilamu una net conversion popote pale Duniani, including Ulaya, Marekani, South America etc.

Ingekuwa wanakubali kuingia uisilamu Kwa vitisho unazungumzia vipi hayo mabara?
Ulaya na marekani kuna uhuru wa kuchagua dini,

Ila Somalia haupo,

Hata Tanzania wapo wakristo wanaamua kwa hiari yao kuwa waislamu ila Somalia unalazimishwa kuwa mwislamu

Mfano,ukienda Zambia kuna kulazimisha mtu kuwa mkristo

Kuna nchi wanalazimisha dini
 
Watu wengi wako kwenye dini hasa uislamu kwa sababu ya vitisho na kuogopeshwa lakini wakipata uhuru wanaachana na dini.

Somalia, Yemen, Saudi Arabia, Afghanistan, nk ukitangaza kuachana na Allah unauwawa so watu wanaogopa kifo wanaamua kua waumini kwa lazima..
Na inakuwaje wanaupeleka huko ulaya bila uwoga mpaka wazungu wanajinyea
Kwanini hao waliofika ulaya wasitoke na kuwa huru, badala yake ndio kwanza wanalianzisha

View: https://www.youtube.com/watch?time_continue=3&v=ScTYKqwdaIM&embeds_referring_euri=https%3A%2F%2Fwww.jamiiforums.com%2F&source_ve_path=Mjg2NjY
 
na mm sijasema wasomali wote
Wengi ni waislam mfu wanaogopa kubadili dini

Mbona hao wasomali wametapakaa dunia nzima na huko US na Ulaya wapo, mbona ndio kwanza hawaogopi mtu na wanautangaza, kwanini wasiuache huko kwenye uhuru wa kila kitu
Nyinyi mbulula wa maporini ndio hata hamjijui mnaamini nini, kwa vile ililetwa na mzungu mnaemuona bora kuliko wazazi wenu, mnafuata kama mifugo mbuzi nyinyi
 
Ulaya na marekani kuna uhuru wa kuchagua dini,

Ila Somalia haupo,

Hata Tanzania wapo wakristo wanaamua kwa hiari yao kuwa waislamu ila Somalia unalazimishwa kuwa mwislamu

Mfano,ukienda Zambia kuna kulazimisha mtu kuwa mkristo

Kuna nchi wanalazimisha dini

Hivi nyinyi akili zimejaa utyoko
Wasomali wangapi wako Uk na wote ni waislamu na ndio kwanza wanautangaza uislamu
Kwanini wasibadili huko UK au US kwenye uhuru
 
Mbona hao wasomali wametapakaa dunia nzima na huko US na Ulaya wapo, mbona ndio kwanza hawaogopi mtu na wanautangaza, kwanini wasiuache huko kwenye uhuru wa kila kitu
Nyinyi mbulula wa maporini ndio hata hamjijui mnaamini nini, kwa vile ililetwa na mzungu mnaemuona bora kuliko wazazi wenu, mnafuata kama mifugo mbuzi nyinyi
kinachokupa maksasiriko n nn
 
Hivi nyinyi akili zimejaa utyoko
Wasomali wangapi wako Uk na wote ni waislamu na ndio kwanza wanautangaza uislamu
Kwanini wasibadili huko UK au US kwenye uhuru
wote ni waislam nan kakwambia
 
Uisilamu una net conversion popote pale Duniani, including Ulaya, Marekani, South America etc.

Ingekuwa wanakubali kuingia uisilamu Kwa vitisho unazungumzia vipi hayo mabara?
Hii dini imewabana watu wengi sana kwa shuruti hata Tz wengi humo wapo kwa shuruti kubwa.
 
Jipange kuleta mada ijadiliwe bila kuleta viini vya udini
Kama kweli ungekuwa una elimu ya juu, ungejua kuleta hii mada kama assigment au mdahalo ujadiliwe kwa kutumia ushahidi na vielelezo
ushahidi gan punguza mihemuko!
Kwaiyo hizo documentary mi ndo nimeandika?
Kweli elimu dunia we n zero kabisa
 
Kuna uhuru wa kuabudu dini yo yote! Vipi nchi za kiislamu?
Baadhi ya hizo nchi zimepiga marufuku mtu kumiliki Biblia.
Marufuku kuanzisha Kanisa wala kuabudi Kikristo.
Wanaogopa watu wasije wakaijua kweli na kuiamini na kuuwacha Uislamu.
Dini ya Kiislamu haijiamini kwakua inajijua kuwa ni dini ya mchongo.
 
Back
Top Bottom