Kwanini baadhi ya Wasomali wakifika Kenya wanabadili dini na kuacha uislam?

Wasomali wakristo wapo , ila wapo ambao ni kenya descendancy ....Wapo wamezaliwa na kukulia kenya maisha yao yote ...Pia wasomali ni kama kabila kenya .
 
Wakutoka somalia
US inakadilia kua kuna kiasi kama cha wasomali 1000 ni wakristu

Wakati taasisi za kidini zinareport ni zaidi ya 5000
 
AL shabab ni rebels wana watu wana wafadhili , kiufupi ni serikali ya upinzani wanakusanya mpaka kodi kweny baadhi ya majimbo ..

Wanaajiri watu sehemu zote duniani katika kufanya ujangili wao .
Wanatumia dini lakini
vifungu vya uislam kabisa
 
Wanatumia dini lakini
vifungu vya uislam kabisa
Hakuna hiko kifungu , nioneshe...Tatizo lipo hapo pale waislamu 99% , kwa nn wasiongozwe na sheria zao .

Kma mtaendelea kulazimisha huu ujinga wa demokraisia , basi vita hazitoishi hata kule saudia mkipeleka soon patakuwa na machafuko.
 
machafuko sikuzote huletwa na wafia dini

saudi anawafyeka watu balaaa!! hatak mtu kutishia kunyang’anya madaraka
 
Waache wajitawale , sasa wafia dini wapi wakati al shabab wanaua waislamu wenzao hapo somali na kenya ....Ukiambia kaa usome basi soma ufautilie mambo sio kuja na chuki .

ISIS imeua waislamu wengi kuliko jamii nyingine, Al shabab vivyo hivyo ...Jaribu kusoma sio unakuwa manipulated na vitu vidogo kama hivi .
 
Umeonagelea democrasia kua inaleta machafuko nakwambia machafuko huletwa na wafia dini kulazimisha wengine kufuata sheria za kidini
 
Hakuna sheria ya dini , how comes 99% mkiwa jamii moja halafu muongozwe na sheria za kizungu kutoka nje ?

Kwanza umetembea nchi ngapi ? Ndio maana Russia anagombana na USA , kisa USA analazimisha mfumo wake kule si awache waishi wanavyotaka.
 
kwaiyo wasomali wakubali kuongozwa na al shabab
 
AL shabab wapo against na uislamu pamoja na Qur an , Qur an imesema mpaka mtu akushambulie ndio unajilnda sasa angalia hao jamaa zako walivyokuwa wahuni 😛 😛
wanapigana vita vitakatifu!!
Jihadist
mkuu tuambie Quran inasemaje kuhusu jihad na makafiri
 
Back
Top Bottom