Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati mtu anasoma mada kwa spidi ili ajibu au kutetea imani how?.Wasomali wapo kenya, si kila msomali unayemuona kenya Hajatoka kenya.
Na si kweli eti Wasomali wakija Kenya wanabadili dini, 99% ya Wasomali ni waisilamu,. Popote pale walipo.
Hata ukisoma hio article yako ina sema 1990 kulikua na Wasomali 20 wakristo na sasa hivi wameongezeka hadi 200.
😂😂😂😂Kuna wakati mtu anasoma mada kwa spidi ili ajibu au kutetea imani how?.
Fungua kwanza ile link ya BBC usome investigation story ya mwandishi alafu oanisha na bandiko letu hapa kisha reply sasa.
Maana unaweza kujikuta dunia si mahala pako asee 😀!.
Haya kabishane guiness wataalamu wa records na ni wakristo wenzakoTupatie takwimu
Kule kwao wanawindwakwann sasa had wafike kenya ndo wabadili!!?
weka link
unaweza kuta ni zile blog zenu za “i ❤️ islam”
Unafikiri hizo figure za 20 na 200 nimetoa wapi? Kwenye hio link, unlike you nimesema na kufanya homework yangu, ila 100% wewe umenijibu bila kufungua hio link la sivyo ungeona data nilizoweka zimewekwa kwenye linkKuna wakati mtu anasoma mada kwa spidi ili ajibu au kutetea imani how?.
Fungua kwanza ile link ya BBC usome investigation story ya mwandishi alafu oanisha na bandiko letu hapa kisha reply sasa.
Maana unaweza kujikuta dunia si mahala pako asee 😀!.
Tanzania na Kenya kuna wa Somali in millions, kama wametoka 20 mpaka 200 that's just rounding figure, kama shida ni kuanzisha mjadala sawa, ila that figure haina maana yoyote, pengine hao wasomali wanataka tu visa za Ulaya.na mm sijasema wasomali wote
Wengi ni waislam mfu wanaogopa kubadili dini
Lugha gongana, conversion has nothing to do with migration, mtu ana convert toka dini Moja kwenda nyengine, Migrant tayari anakuja na dini yake.mabara ni wahamiaji hao kutoka syria na nchi zenye vita
Wamekutana na imani ya kweliWakimbizi wengi wa kisomali wanabadili dini wakofika kenya.Hii ni kwa sababu serikali ya kenya inaruhusu kila dini tofauti na nchini kwao ambako wanauliwa kisa dini!
Wasomali wanasema wamefanya au kufuata ukristo kwa miaka kumi kisiri siri wakiwa somalia.
Huu mkasa unafanana na iran
Je kama somali ingekua na uhuru si wasomali wote wangehama.
BBC NEWS | Africa | Somali Christians struggle in Kenya
news.bbc.co.uk
Wasomali wangapi wamebadilisha dini mzee mbona unagenaralize as if wasomali wote wakienda kenya ni kawaida yao kubadilisha dini? Na umefanya utafiti? Au umeangalia documentary kwenye BBC? Majobless bwanaWakimbizi wengi wa kisomali wanabadili dini wakofika kenya.Hii ni kwa sababu serikali ya kenya inaruhusu kila dini tofauti na nchini kwao ambako wanauliwa kisa dini!
Wasomali wanasema wamefanya au kufuata ukristo kwa miaka kumi kisiri siri wakiwa somalia.
Huu mkasa unafanana na iran
Je kama somali ingekua na uhuru si wasomali wote wangehama.
BBC NEWS | Africa | Somali Christians struggle in Kenya
news.bbc.co.uk
mbona hasira kwan wakibadili we unapungukiwa nn??Wasomali wangapi wamebadilisha dini mzee mbona unagenaralize as if wasomali wote wakienda kenya ni kawaida yao kubadilisha dini? Na umefanya utafiti? Au umeangalia documentary kwenye BBC? Majobless bwana
Kwao wanachinjwakwann sasa had wafike kenya ndo wabadili!!?
sawa tunaongelea wasomaliTanzania na Kenya kuna wa Somali in millions, kama wametoka 20 mpaka 200 that's just rounding figure, kama shida ni kuanzisha mjadala sawa, ila that figure haina maana yoyote, pengine hao wasomali wanataka tu visa za Ulaya.
Lugha gongana, conversion has nothing to do with migration, mtu ana convert toka dini Moja kwenda nyengine, Migrant tayari anakuja na dini yake.
Ulaya Hao wazungu na raia wengine ndio wana convert Na katika dini zote Duniani ni uisilamu, Atheist na folks religion tu ambao wanaondoka ni wachache kuliko wanaoingia.
View attachment 3062472