EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Allah ananuna mno sema tu hawajui wanavyomkera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna jihad imepigwa kweny makazi ya watu wala kutumia mabovu, jihad ilikuwa ni kujilianda na watu walianza kushambulia waislamu .wanapigana vita vitakatifu!!
Jihadist
mkuu tuambie Quran inasemaje kuhusu jihad na makafiri
Kulikuwa na utawala ambao uliangua 1991 ndio wakaingia , ina maana waliporwa...Ethiopi waliingia ili kutoa utawala wa wasomali wa asili ili kuendelea mambo ya wazungu .ndo nakuuliza kwaiyo waache watawaliwe na alsha bab
Tanganyika kuliwa na resistance na watu kuuawa mpaka tulipopata uhuru , kwa nn wasiondoke ili kuwaacha na nchi yao?ndo nakuuliza kwaiyo waache watawaliwe na alsha bab
Kulikuwa na utawala ambao uliangua 1991 ndio wakaingia , ina maana waliporwa...Ethiopi waliingia ili kutoa utawala wa wasomali wa asili ili kuendelea mambo ya wazungu .
Hata TALIBAN walifanya hivyo wamepewa nchi yao , si unaona wako kimya sasa. 😀 😀
Tuambie kadiri ya kitabu siyo mawazo yako mbona unakwepeshaHakuna jihad imepigwa kweny makazi ya watu wala kutumia mabovu, jihad ilikuwa ni kujilianda na watu walianza kushambulia waislamu .
Elewa neno ''kuanza kushambulia waislamu''
Swali lip? Al shabab ndio wana sheria za kuongoza wazawa.hujajibu swali?
mkuu vita haiishi kwasababu watu wanatawaliwa na utawala wao wa asili si kweli!Kulikuwa na utawala ambao uliangua 1991 ndio wakaingia , ina maana waliporwa...Ethiopi waliingia ili kutoa utawala wa wasomali wa asili ili kuendelea mambo ya wazungu .
Hata TALIBAN walifanya hivyo wamepewa nchi yao , si unaona wako kimya sasa. 😀 😀
Allah hataki kupoteza watu wa kwenda nae hehanamukwann
Tatizo kwene ugaidi tu hapoUislamu ni dini ngumu kwa sababu ina ustaarabu mwingi na ndio maana wenye mioyo dhaifu na isiyo na ustaarabu huwa hawafuati mafundisho ya kiislamu ikiwa wamezaliwa na wazazi waislamu, na wenye mapenzi na dunia kuliko mbinguni nao pia hawawezi kuwa na mapenzi na uislamu, na sio kwamba ni dini ovu na mbaya!
Ukitaka kujua uislamu ni ustaarabu tosha angalia pure muslims wanavyoishi na kupewa identity ya Ostadh au sheikh hata kama hana elimu then linganisha na wengine from other faith!
Katika Qur an waliotajwa ni makafir wale waliokuwa wanapigana na waislamu , yaani wapo kweny vita.Tuambie kadiri ya kitabu siyo mawazo yako mbona unakwepesha
Si kuna quote za makafiri na jihad
hizo ndo tunataka tusikie
mkuu ila ukweli unaujua wwKatika Qur an waliotajwa ni makafir wale waliokuwa wanapigana na waislamu , yaani wapo kweny vita.
Qur an 2:190
"Na piganeni katika njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanao kupigeni, wala msianze uadui. Kwani Mwenyezi Mungu hawapendi waanzao uadui."
Mpaka ushambuliwe ndio upigane , nje ya hapo ni ukafiri kuua watu wasiokuwa na hatia , waliotajwa washambuliwe na wakamatwe ni wale walikuwa kweny battlefield yaani wanapambana kweny uwanja wa vita sio kuvamiwa . 😀 😀