Kwanini bado Jamii yetu inaamini ukimuonesha mapenzi mkeo ni limbwata?

Kwanini bado Jamii yetu inaamini ukimuonesha mapenzi mkeo ni limbwata?

Wajumbe salama?

Hivi ni kwanini bado jamii yetu inaendelea kuwa na mtazamo kwamba ukionesha mapenzi kwa mkeo ni limbwata? Tunaamini sana katika ulozi? Ama ndiyo mfumo dume umeshatuathiri kwa kiwango kikubwa?
Ina sura nyingi....sanaa natamani ujue mwanamke anarubuniwa dak 3 akiwa ma shost .....watakufanya watakaloo
....kosa kubwa sana akiwa kundi huko vikobas ni shidaaaa
 
Daah mfalme na wewe unarudi kulekule? Kwani mwanamke hana haki ya kuoneshwa upendo? Mbona dada zetu wakiolewa wanataka kuoneshwa upendo na wanaume zao? Kwanini wakina kwetu ndiyo wanaona limbwata?
Muulize kama anapenda kuona dada yake akinyanyasika kwa kukosa upendo kwa mumewe? Kama sivyo, basi they deserve to be loved. May be ashindwe kutofautisha kati ya kuonyesha upendo na ku-tolerate baadhi ya mambo ya wanawake, I mean kuwa na mipaka
 
Naimani hatofurahishwa kuona hilo likitendeka,

Kuna namna unafki pia unatutesa
 
Back
Top Bottom