Kwanini bado Jamii yetu inaamini ukimuonesha mapenzi mkeo ni limbwata?

Wajumbe salama?

Hivi ni kwanini bado jamii yetu inaendelea kuwa na mtazamo kwamba ukionesha mapenzi kwa mkeo ni limbwata? Tunaamini sana katika ulozi? Ama ndiyo mfumo dume umeshatuathiri kwa kiwango kikubwa?
Jamii yetu haiko serious.

Mtu anaweza kukuambia wewe umelishwa limbwata, ukamuuliza kwa nini anasema hivyo, akasema anakutania tu.

Ila hayo mawili uliyoyasema, kuamini ulozi na mfumodume si ajabu yote kuenda pamoja. There is no mutual exclusivity hapo.

Kukosa elimu kunaendana sana na imani za uchawi na mfumodume.

Kiini cha matatizo ni ujinga.
 
Jamii yetu haiko serious.

Mtu anaweza kukuambia wewe umelishwa limbwata, ukamuuliza kwa nini anasema hivyo, akasema anakutania tu.

Ila hayo mawili uliyoyasema, kuamini ulizi na mfumodume si ajabu yote kuenda pamoja. There is no mutual exclusivity hapo.

Kukosa elimu kunaendana sana na imani za uchawi na mfumodume.

Kiini cha matatizo ni ujinga.
Nmekuelewa sana mkuu, umeiweka kitaalam
 
Wajumbe salama?

Hivi ni kwanini bado jamii yetu inaendelea kuwa na mtazamo kwamba ukionesha mapenzi kwa mkeo ni limbwata? Tunaamini sana katika ulozi? Ama ndiyo mfumo dume umeshatuathiri kwa kiwango kikubwa?
hakuna sababu hata moja ya kubababika na mitazamo ya wengine dhidi ya kumpenda mkeo na familia yako kwa ujumla..

raha na ugumu ndani ya ndoa yako vinakuhusu wewe na mkeo pekee.

songa mbele my friend mitazamo na maoni ya wengine yasikupumbaze wala kukuchelewesha 🐒
 
Endelea Kuyaonyesha Mapenzi Uone Yatakavyo Kuadhibu na kukupa Tabu kisawasawa,,Ikukae Akilini Siku Zote Kwa Yule Umpendae Jithidini Mfanye Zaidi Mapenzi Kuliko Kuyaonyesha,,Na Ufanyaji Wa Mapenzi Siku Zote Huwaga ni Siri Ya Waliopendana Kwa Wakati Huo,,Kwenye Kuyaonesha Huwaga Kuna Kudharaulika,,Kudhalilika,,Mighafilisho,,Fedhea,,Aibu n.k,,,Lakini Ukiyafanya Kwa Wingi na Uhakika Kuna Kupendwa,,,Kuheshimika,,Kuthaminika,,Kuaminika,,Kuhitajika n.k.###AkiliKumkichwa###
 
comment bora kabisa
 
Back
Top Bottom