Kwanini bado Jamii yetu inaamini ukimuonesha mapenzi mkeo ni limbwata?

Shemeji anweza kukupa maelekezo ultimatum na ukatii kwa nidhamu na heshima ila ukauwasilisha ujumbe kwa muandiko wako pasina kupoteza ujumbe uliolekezwa uuwasilishe jukwaani.
Sijapokea maelekezo mkuu, ni mawazo yangu hayo
 
Wajumbe salama?

Hivi ni kwanini bado jamii yetu inaendelea kuwa na mtazamo kwamba ukionesha mapenzi kwa mkeo ni limbwata? Tunaamini sana katika ulozi? Ama ndiyo mfumo dume umeshatuathiri kwa kiwango kikubwa?
Why unamuonyesha meko mapenzi
 
Wajumbe salama?

Hivi ni kwanini bado jamii yetu inaendelea kuwa na mtazamo kwamba ukionesha mapenzi kwa mkeo ni limbwata? Tunaamini sana katika ulozi? Ama ndiyo mfumo dume umeshatuathiri kwa kiwango kikubwa?
Hii mada iko too general, ungetoa na mifano, ya kuonesha mapenzi!

Labda unamaanisha kuonesha mapenzi katika kufua nguo zako na zake, kupika na kuosha vyombo au kumbebea mkoba muwapo njiani??

Tunaomba dimension.
 
Wajumbe salama?

Hivi ni kwanini bado jamii yetu inaendelea kuwa na mtazamo kwamba ukionesha mapenzi kwa mkeo ni limbwata? Tunaamini sana katika ulozi? Ama ndiyo mfumo dume umeshatuathiri kwa kiwango kikubwa?
Mapenzi gani unayomuonesha mkuu? Kama ni kupiga deki nyumba au kuingia jikoni kukuna nazi kwenye kibao cha mbuzi hapo lazima tuwe na mashaka
 
Back
Top Bottom