tekashisensei
New Member
- May 30, 2020
- 4
- 6
Kwa mfano, mwanaume akiwa na umri mdogo kuliko mwanamke, au mahusiano ya kimwili tu si mapenzi (friends with benefit) au ukute ni kuwa partners pasipo na drama au mahusiano ya kimaslai (sugar dating) nk.
Hayo mahusiano kwa hapa TZ yakitokea wahusika huonekana ni watu waajabu sana, issue kama vibenteni, mara ni muhuni, mara hawajielewi n.k,
Sasa ninachoongelea ni kwa nini huwa inakua hivyo mpaka sasa?