Kwanini Bajaj na Pikipiki hazina "number plates" kwa mbele kama magari? I'm just asking out of curiosity

Kwanini Bajaj na Pikipiki hazina "number plates" kwa mbele kama magari? I'm just asking out of curiosity

Design factors...zilianza kuja Guard za plastic hizi hazina plate number holder hivyo huwezi fit plate number...na kwakua sheria ya kwamba plate number iwepo mbele kwenye pikipiki haipo specifically kwaajili ya pikipiki...no one really cares. Na hamna legal consequences za kutokua nayo hivyo na manufacturers hawajaona haya yakudesign holder tena.
Holder zipo
 
Sio Bajaj, Hata tractor Zina plate number moja tu ila power tiller ndo haina kbs
 
Sio Bajaj, Hata tractor Zina plate number moja tu ila power tiller ndo haina kbs
Kwani powertiller ni motor vehicle ile ipo kwenye kundi la zana za kilimo sio vyombo vya usafiri na ndio maana Huwezi kuta vikitembea long distance maeneo yake ya matumizi ni mashambani huko.
 
Ipo kisheria Ukisajili pikipiki unapata plate number 1 ukiachana na urahisi wa kuona ukitazama straight ni nyuma kuliko mbele ila hiyo imewekwa kwa sababu mbili

1:kupunguza ukinzani wa upepo(wind resistance)

2:usalama zamani zilikuwa zinatolewa mbili unakuta dereva akipata ajali ndio inakuwa chanzo cha kuongeza majeraha kwa kumkata dereva pia kukiwa na mvua maji yanagonga pale chembechembe zinakurukia usoni
Ongezea elimu kwenye mvua. Maana zinawekwa kwenye steering kabisa. Au zinakaa kama sahani ?
 
Back
Top Bottom