Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Swali zuri sana hili,Mambo vp wadau wa JF.
Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho.
I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the 🐈 cat)
Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto..
~ SIPENDI SIASA ~
Serikali imeshindwa kujiongeza ikawataka wamiliki waweke namba, ila pikipiki za zamani zilikuwa na namba