Kwanini Bajaj na Pikipiki hazina "number plates" kwa mbele kama magari? I'm just asking out of curiosity

Swali zuri sana hili,
Serikali imeshindwa kujiongeza ikawataka wamiliki waweke namba, ila pikipiki za zamani zilikuwa na namba
 
Mkoa kama Arusha pikipiki nyingi hasa zile za wadudu hata hizo namba za nyuma hawaweki wanatoa, ni vurugu tu
 
Sababu hazina mashiko
  1. Kwani magari hayana hiyo resistance? Vifua vya waendeshaji ambavyo ni vipana kuliko hiyo number plate je?
  2. Ina maana hicho kibati kwenye bajaji ni hatari kuliko kioo, au kwenye pikipiki side mirror je?
 
hizi sababu ulizotoa mbona hazina mashiko..?
 
Sababu hazina mashiko
  1. Kwani magari hayana hiyo resistance? Vifua vya waendeshaji ambavyo ni vipana kuliko hiyo number plate je?
  2. Ina maana hicho kibati kwenye bajaji ni hatari kuliko kioo, au kwenye pikipiki side mirror je?
#huyo jamaa sababu alizotoa hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi zitoa
 
Hizo mbona milioni sita tu unapata
Nyingi za bei hiyo ni made for African market. Za kule kwa wenyewe huwezi kupata kwa bei hiyo. We fanya kautafiti kidogo tu. Za mtumba tu bei imechangamka. Mfano ni hii chuma ya Mjapani inaitwa Kawasaki Ninja. Imetembea km 7200; bei yake ni sh. 12,000,000/=
 

Attachments

  • Screenshot_20250109-162245_Chrome.jpg
    367.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250109-162152_Chrome.jpg
    325.2 KB · Views: 2
Huna macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…