🤣🤣🤣🤭Jitambulishe kwanza wewe ni nani na kiwango chako Cha elimu halafu uwasilishe hoja yako, maswali au mapendekezo ndivyo tunavyofanya kwenye mijadla mikubwa ya kiserikali kama hii.
Hovyo kabisa kuwa nani na elimu yake haisuini ?Jitambulishe kwanza wewe ni nani na kiwango chako Cha elimu halafu uwasilishe hoja yako, maswali au mapendekezo ndivyo tunavyofanya kwenye mijadla mikubwa ya kiserikali kama hii.
Hahaaa,asisahau na majina yake matatu.Jitambulishe kwanza wewe ni nani na kiwango chako Cha elimu halafu uwasilishe hoja yako, maswali au mapendekezo ndivyo tunavyofanya kwenye mijadla mikubwa ya kiserikali kama hii.
we unatumiwa tunakujua ila we na hao wenzio ni minyau midogo sana kukwamisha mipango ya serikali yetu tukufu. Kaharishe huo uvundo uliokula akili itakurudi we kima.Ni mkataba wa kijinga sana
We inaonekana uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo sana. We ulitaka apewe nani, mambo ya ushinadani wa tenda hayatangazwi hadharani, hata hivyo waziri Mbarawa akiwa Mwanza alitaja makampuni yaliyoshindanishwa na DP World. DP World ndio ameibuka mshindi kwa vigezo vilivyowekwa ikiwa ni pamoja na uwezo kifedha, kiteknojia, uzoefu, na kuwa na mtandao mkubwa duniani.Kabla hamjakimbilia kutuambia faida na hasara, chambueni kwanza vipengele vya mkataba na mjibu maswali yanayoulizwa.
Nia ya kumtafuta DPW ilitokana na report ipi ya uchanganuzi wa ufanisi wa bandari?
Tenda iliyozishindanisha kampuni tofauti tofauti kisha ikapatikana DPW ilitangazwa wapi?
Mgao wa Tanzania kwenye huu mkataba utakuwa ni upi? Umeainishwa wapi?
Majukumu ya Tanzania kwenye Huu mkataba ni yapi?
Ukomo wa mkataba ni wa muda gani? Kwa nini?
Kwanini mkataba unahusisha bandari zote za Tanzania?
Nimeitoa sehemu naona Serikali ingejikita kutoa ufafanuzi hapo
Hakuna ambae hataki wawekezaji.
Hana mpinzaniKabla hamjakimbilia kutuambia faida na hasara, chambueni kwanza vipengele vya mkataba na mjibu maswali yanayoulizwa.
Nia ya kumtafuta DPW ilitokana na report ipi ya uchanganuzi wa ufanisi wa bandari?
Tenda iliyozishindanisha kampuni tofauti tofauti kisha ikapatikana DPW ilitangazwa wapi?
Mgao wa Tanzania kwenye huu mkataba utakuwa ni upi? Umeainishwa wapi?
Majukumu ya Tanzania kwenye Huu mkataba ni yapi?
Ukomo wa mkataba ni wa muda gani? Kwa nini?
Kwanini mkataba unahusisha bandari zote za Tanzania?
Nimeitoa sehemu naona Serikali ingejikita kutoa ufafanuzi hapo
Hakuna ambae hataki wawekezaji.
Karudishe hela ya watu we huna uwezo wa kujenga hoja yoyote na huna ufahamu wowote utaishia tu kutukana wenzio. Shenzy type, mkafanye kazi halali.Hovyo kabisa kuwa nani na elimu yake haisuini ?
Kama PHD ndo za kina mwigulu ???
Au wasomi kina bashe ?
Wasomi wenyewe wezi,wanangalia matumbo yao,
Watu wa kawaida ndo wenye uchungu na nchi
Alisaini mikataba thelathini na kenda huko uarabuni,,, kelele mmeanza mapema sana watanganyika wenzangu embu tulieni tuone na huko kwengine walipokabidhiwa pia,,tunywe kwanza mtori labda nyama tutazikuta chini,,sasa sijui ni nyama au tutatupiwa mijifupa iliyokwisha liwa na wao nasi tumalizie kuisasambua!!