Ata uwanja wa mpira wa taifa Leo unaitwa kwa mkapa sio mbaya mwendazake angeweza kutuboreshea na jina la mlima Kilimanjaro Ukajulikana kama Professor Kabudi mountainHaa, Kwani tunategemea kwamba Kuna siku mlima Kilimanjaro hautakuwa na jina?
Ili upewe jina jipya..
Kuna mtu wanamtekenyaKama daraja lipo nini shida yako? Jadili mambo ya msingi
Kuna vyoo vya kulipia nimejenga nikjviita Magufuli toilet ni kisa?kahamisha stendi ya Ubungo aka ipachika jina lake kijanja jana eti standi ya Magufuli wakati miaka na miaka ilikuwepo!
alikuwa ana nyemelea na soko la kariakoo lile la Dodoma aliona ni dogo ndio maana akasema liitwe sijui ndungai!
Weka picha mkuu, before and afterSalaam,
Naomba kufahamu Je! Jina la daraja la Ubungo almaarufu Kijazi Interchange limebadilishwa au mamlaka husika wanatengeneza bango bora zaidi?
Maana lile bango lililokua na jina halipo tena.
Lirudishwe haraka sana kabla hatujaandamana. Hatutaki mchezo Sisi. Msituone tumenyamaza tunaobserve kila kitu! Mabadiliko mengi yamefanyika tumekaa kimya msidhani sisi ni wajinga!Salaam,
Naomba kufahamu Je! Jina la daraja la Ubungo almaarufu Kijazi Interchange limebadilishwa au mamlaka husika wanatengeneza bango bora zaidi?
Maana lile bango lililokua na jina halipo tena.
Unaandika kwa chini yake watu wasibaki na mavi nyumbani choo bureKuna vyoo vya kulipia nimejenga nikjviita magufuli toilet ni kisa?
Duh...!!!Ndugu!Mti unapukutisha majani!unashangaa nini ukipukutisha na majina????!!
Daraja la Ubungo na la Tazara hakuna Mfugale wala kijazi wale wote walikuwa watumishi tu kama watumishi wengine.Lile lilifaa liitwe daraja la ubungo tu.
Heshima kwa watu waliotangulia na waliousika kwenye jambo lile..Mkapa Stadium,Mfugale fly over,Nyerere airport,Sokoine University,lumumba street
Yafutwe yameshindwa kusound, ukimwambia mtu daraja la kijazi, mfugale, magufuli au stand ya magufuli atashindwa kujua yapo wapi.Jina sahihi linalosound ni daraja la ubungo, tazara, kilombero,stand ya mabus mbezi.Majina yote mapya hayo yameshindwa kusoundkahamisha stendi ya Ubungo aka ipachika jina lake kijanja jana eti standi ya Magufuli wakati miaka na miaka ilikuwepo!
alikuwa ana nyemelea na soko la kariakoo lile la Dodoma aliona ni dogo ndio maana akasema liitwe sijui ndungai!
Hata ubungo, kilombero yamegoma kusoundIla mfugale flyover limegoma ,mwendo wa tazara flyover