Kwanini bango la "Kijazi Interchange" halipo tena?

Kwanini bango la "Kijazi Interchange" halipo tena?

Heshima kwa watu waliotangulia na waliousika kwenye jambo lile..Mkapa Stadium, Mfugale fly over, Nyerere airport, Sokoine University, Lumumba street.
 
Salaam,

Naomba kufahamu Je! Jina la daraja la Ubungo almaarufu Kijazi Interchange limebadilishwa au mamlaka husika wanatengeneza bango bora zaidi?

Maana lile bango lililokua na jina halipo tena.
Weka picha mkuu, before and after
 
Salaam,

Naomba kufahamu Je! Jina la daraja la Ubungo almaarufu Kijazi Interchange limebadilishwa au mamlaka husika wanatengeneza bango bora zaidi?

Maana lile bango lililokua na jina halipo tena.
Lirudishwe haraka sana kabla hatujaandamana. Hatutaki mchezo Sisi. Msituone tumenyamaza tunaobserve kila kitu! Mabadiliko mengi yamefanyika tumekaa kimya msidhani sisi ni wajinga!
 
Heshima kwa watu waliotangulia na waliousika kwenye jambo lile..Mkapa Stadium,Mfugale fly over,Nyerere airport,Sokoine University,lumumba street

Ila mfugale flyover limegoma, mwendo wa Tazara flyover
 
kahamisha stendi ya Ubungo aka ipachika jina lake kijanja jana eti standi ya Magufuli wakati miaka na miaka ilikuwepo!
alikuwa ana nyemelea na soko la kariakoo lile la Dodoma aliona ni dogo ndio maana akasema liitwe sijui ndungai!
Yafutwe yameshindwa kusound, ukimwambia mtu daraja la kijazi, mfugale, magufuli au stand ya magufuli atashindwa kujua yapo wapi.Jina sahihi linalosound ni daraja la ubungo, tazara, kilombero,stand ya mabus mbezi.Majina yote mapya hayo yameshindwa kusound
 
Back
Top Bottom