Walilipwa kwa kodi zetu na lilikua jukumu laoAcha roho mbaya. Soma mambo makubwa waliofanyia nchi hii. Kuandaa mpango wa kujenga madaraja na barabara nchi nzima ambao unaendelea kutumia hadi leo wewe tunaona kazi ndogo. Kuanzisha TANROADS na alisimamia hadi akawa kampeini inayosimamima barabara kuu nchini tunaona kitu kidogo. Sisi sote tunaendelea kufaidika na hao waliotangulia. Eng Kijazi na Mfugale ameonyesha umuhimu wa wasomi nchi hii. Mpumzike kwa amani.
Aongee yanayomhusu kama hana kazi aambie gava wampatie kazi.Kama daraja lipo nini shida yako? Jadili mambo ya msingi
Daraja si lipo, jina sio shida kila mtu aliite anavyotakaSalaam,
Naomba kufahamu Je! Jina la daraja la Ubungo almaarufu Kijazi Interchange limebadilishwa au mamlaka husika wanatengeneza bango bora zaidi?
Maana lile bango lililokua na jina halipo tena.
100%βοΈYafutwe yameshindwa kusound, ukimwambia mtu daraja la kijazi, mfugale, magufuli au stand ya magufuli atashindwa kujua yapo wapi.Jina sahihi linalosound ni daraja la ubungo, tazara, kilombero,stand ya mabus mbezi.Majina yote mapya hayo yameshindwa kusound
mkoa wa chato ulikuwa ulikuwa una pewa jina lake mkoa wa mtemi magufuli jiweipo siku angegawa mkoa mmoja na kuuitwa mkoa wa magufuli
πππ kila bara bara angezipa majina ya watu wake[emoji28]macho kodo
Chato imegeuka gofu ilikuwa inakausha kodi zetumkoa wa chato ulikuwa ulikuwa una pewa jina lake mkoa wa mtemi magufuli jiwe
Acha roho mbaya. Soma mambo makubwa waliofanyia nchi hii. Kuandaa mpango wa kujenga madaraja na barabara nchi nzima ambao unaendelea kutumia hadi leo wewe tunaona kazi ndogo. Kuanzisha TANROADS na alisimamia hadi akawa kampeini inayosimamima barabara kuu nchini tunaona kitu kidogo. Sisi sote tunaendelea kufaidika na hao waliotangulia. Eng Kijazi na Mfugale ameonyesha umuhimu wa wasomi nchi hii. Mpumzike kwa amani.