Kwanini bango la "Kijazi Interchange" halipo tena?

Suala la kivipa vitu majina ya viongozi siyo geni maana hata huko mbele hili jambo lilmeanza miaka mingi sana. Issue kubwa hapa ni kwamba hao wenye hao majina yanayopewa vitu kamna madaraja n.k wameifanyia nini hii nchi hadi majina yao yastahili kuwekwa/kuitwa miundombinu ya nchi? Mfano hayati Kijazi na Mfugale wamefanya nini kuliko watumishi wengine katika nchi hii kiasi cha majina yao kuwekwa kama kumbukumbu kwenye mali za nchi? Tukienda kwa mwendo huu itafika mahali tutakuwa na barabara zinaiitwa MAKONDA ROAD!
 
Watanzania hakika hamuoni umuhimu wa mainginia hao katika kuleta maendeleo Tanzania?. Wakitumia elimu yao ya uinginia na uzalendo wao wamelishiriakana na JPM kuleta mageuzi makubwa kwenye miundombinu ya barabara yakiwemo madaraja.
 
Kwa hiyo kwenye sekta ya miundombinu tu ndio wanastahili majina yao kuwekwa kwenye miundombinu/ Mbona hatuoni shule, vyuo, n.k vikipewa majina ya mawaziri au katibuu wakuu wa hiyo taasisi? Hata wakuu wa majeshi ni nadra sana kukuta majina yao yamepewa mali za nchi hii au wao hawana mchango kwenye ulinzi wa nchii hii? Mfugale na Kijazi walikuwa watumishi tu kama walivyowatumishi wengine wa serikali katika taasisi nyingine.
 
TAZARA NA UBUNGO NI NGUMU SANA KUYABADILI HADI YAZOELEKE
 
Kama hilo jina la kijazi limetoka nitafurah sana,,,, hapakuwa na sbabu ykuitwa hivyo.. ubungo interchange au ubungo flyover yalikuwa Sahih
 
Kwa hiyo kwenye sekta ya miundombinu tu ndio wanastahili majina yao kuwekwa kwenye miundombinu/ Mbona hatuoni shule, vyuo, n.k vikipewa majina ya mawaziri au katibuu wakuu wa hiyo taasisi? Hata wakuu wa majeshi ni nadra sana kukuta majina yao yamepewa mali za nchi hii au wao hawana mchango kwenye ulinzi wa nchii hii? Mfugale na Kijazi walikuwa watumishi tu kama walivyowatumishi wengine wa serikali katika taasisi nyingine.
Acha roho mbaya. Soma mambo makubwa waliofanyia nchi hii. Kuandaa mpango wa kujenga madaraja na barabara nchi nzima ambao unaendelea kutumia hadi leo wewe tunaona kazi ndogo. Kuanzisha TANROADS na alisimamia hadi akawa kampeini inayosimamima barabara kuu nchini tunaona kitu kidogo. Sisi sote tunaendelea kufaidika na hao waliotangulia. Eng Kijazi na Mfugale ameonyesha umuhimu wa wasomi nchi hii. Mpumzike kwa amani.
 
Bwana yule alitaka kugawa nchi Kila kitu kiitwe jina la mpendwa wake. Kuna msitu unaitwa msitu wa silayo. Tunatarajia kung'oa hilo bango pia
 
Acha roho mbaya. Soma mambo makubwa waliofanyia nchi hii. Kuandaa mpango wa kujenga madaraja na barabara nchi nzima ambao unaendelea kutumia hadi leo wewe tunaona kazi ndogo. Kuanzisha TANROADS na alisimamia hadi akawa kampeini inayosimamima barabara kuu nchini tunaona kitu kidogo. Sisi sote tunaendelea kufaidika na hao waliotangulia. Eng Kijazi na Mfugale ameonyesha umuhimu wa wasomi nchi hii. Mpumzike kwa amani.
Kwa hiyo kila sekta tukienda kwa mwendo huo basi mali nyingi sana za nchi zitapewa majina ya watumishi wa umma walifanya vizuri kwenye nafasi zao za utumishi. Maana kila sekta kuna wliofanya vizuri sana kuzifikisha hapo sekta husika wengine wapo hai na wengine walishatangulia. Magufuli alifanya hivyo si kwa sababu hiyo unayoisema wewe bali kwa sababu za mahusiano yao ya muda murefu kwenye hiyo sekta ya Miundombinu. KUBALI AU KATAA.
 
Suala la kivipa vitu majina ya viongozi siyo geni maana hata huko mbele hili jambo lilmeanza miaka mingi sana. Issue kubwa hapa ni kwamba hao wenye hao majina yanayopewa vitu kamna madaraja n.k wameifanyia nini hii nchi hadi majina yao yastahili kuwekwa/kuitwa miundombinu ya nchi? Mfano hayati Kijazi na Mfugale wamefanya nini kuliko watumishi wengine katika nchi hii kiasi cha majina yao kuwekwa kama kumbukumbu kwenye mali za nchi? Tukienda kwa mwendo huu itafika mahali tutakuwa na barabara zinaiitwa MAKONDA ROAD!
Mkuu, hukusoma Historia ya utumishi wa Mfugale hapa nchini juzi humu ?,itafute utaona kazi yake. Hapo jiwe hakukosea kuita hilo daraja mfugale
 
Salaam,

Naomba kufahamu Je! Jina la daraja la Ubungo almaarufu Kijazi Interchange limebadilishwa au mamlaka husika wanatengeneza bango bora zaidi?

Maana lile bango lililokua na jina halipo tena.
Yule mzee alikuwa mpuuzi, lile daraja litaitwa jina la muhasisi wowote wa Nchi, huyo kijazi ana mchango gani katika hii Nchi
 
Salaam,

Naomba kufahamu Je! Jina la daraja la Ubungo almaarufu Kijazi Interchange limebadilishwa au mamlaka husika wanatengeneza bango bora zaidi?

Maana lile bango lililokua na jina halipo tena.
Wahuni walipita nalo nite washalifanya turubai
 
Salaam,

Naomba kufahamu Je! Jina la daraja la Ubungo almaarufu Kijazi Interchange limebadilishwa au mamlaka husika wanatengeneza bango bora zaidi?

Maana lile bango lililokua na jina halipo tena.
Una matatizo ya macho au wewe ni wale pingapinga wa kila kitu?
 
Back
Top Bottom