Kwanini bara la Afrika hasa kwenye tawala za watu weusi lisigawanye kwenye makoloni ili litawaliwe upya katika phase mpya ya Tatu?

Superhuman 1995

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
1,909
Reaction score
3,210
Kuna kila hali na kila namna bara la afrika kuanzia afrika magharibi,ukanda wa afrika mashariki,hadi ukingo wa afrika mashariki,tukiitoa ethiopia,afrika ya kati,na ukanda wa nchi zilizo kusini mwa afrika,mataifa yote haya yanapaswa kupokonywa sovereignty zao,watawala wa mataifa haya
1: wanatumia power zao vibaya kuharibu na kudhurumu haki ya kuishi kwa wapinzani wao na wananchi wazarendo wanaoenda kinyume nao

2:Wanatengeneza chaguzi feki na za mchongo kutakatisha uharamu wao kuwa uhalali,hata kwa kumwaga damu

3:Wanatengeneza fukuto kubwa la ujinga na umasikini ili kupora na kurithisha rasilimali za taifa kwa vizazi vyao

4:Wanatumia vyombo vya dola,ambao ni watoto wa masikini kuuwa ndugu zao maskini ili waendelee kusalia madarakani na mapandikizi yao

5:Wanatumia propaganda,kejeli,kumwaga pesa,kuteka,kulawiti,kufira,kubaka na kuua kikatili kwa wanaharati na wapinzani wao wanapojaribu kuwafumbua watu kutoka usingizini

6:Tawala hizi mara nyingi hujifananisha na Mungu,zikiwa madarakani zinaamini wenyewe wataishi milele pia wanahaki ya kutawala na kuishi milele,wengine hawana haki ya kuishi wala kutawala

7;Kuna wapambe wao chawa na vikundi vidogovidogo kutoka kwenye chama Chao kinachotawala,wanavitumia vikundi hivi kuisifu serikali yao inapoambiwa ukweli mzito kuhusu matendo yake haramu,wao wanaisifu na kukejeri na kuwatisha wapinzani wao kuhusu kakatili uhai wao

8:Tawala hizi zinapambana watu waendelee kuwa masikini na wajinga maana ndio mtaji wao wa kutawala kuepusha upinzani mkali.

Lakini mara zote tawala zote za ngozi nyeusi barani Africa hujiita tawala za kidemokrasia,haya ndio maajabu
Pia zinajinathibu mabeberu ndiyo yanataka tugombane wapore uranium yetu,wakati neno Haki kwao ni vita lakini Amani kwao ni usingizi,

Ngozi nyeusi ni ishara ya laana ya ulimwengu,bara la afrika hasa kwenye tawala hizi za ngozi nyeusi linapaswa ligawanywe kwenye makolony na mataifa makubwa ya kigeni,maana muda wa afrika kujitawala ulikuwa bado haujafika
Itaendelea.........
 
tatizo kubwa liko kwenye nchi ambazo zina muslims wengi na wana political power, wengi means (>10%) lkn zile zisizo na mulism kabisa zinaendelea vizuri tu kama southern afrikan countries, hata kenya walikuwa vizuri lkn wana sizeable muslim population pia na geography yao na barbaric somalia ni tatizo ...
 
Je Congo Brazzaville, majority
tatizo kubwa liko kwenye nchi ambazo zina muslims wengi na wana political power, wengi means (>10%) lkn zile zisizo na mulism kabisa zinaendelea vizuri tu kama southern afrikan countries, hata kenya walikuwa vizuri lkn wana sizeable muslim population pia na geography yao na somalia ni tatizo ...

Je Congo Brazzaville, majority ni Muslim?
 
Je Congo Brazzaville, majority

Je Congo Brazzaville, majority ni Muslim?

sijui shida ni nini kongo labda voodoo, lkn jirani yake angola is doing fine, ukifika angola huwezi kuamini kama kulikuwa na vita miaka michache iliyopita, mji wao mzuri umeendelea ofcourse bado wana matatizo ya umaskini lkn wamepiga hatua kubwa sana mbele na hauoni kukata tamaa kwa watu bali unaona matumaini ...
 
Je kwa ukanda huu wa Tanzagiza nini shida
 
swali gumu, kwangu mimi kutenganisha nchi kama india na pakistan lkn thats just me ...
Je unaamani matatizo ya Tanzania yanachangiwa na dini ya kiislamu,ukichunguza kwa umakini point yako inamashiko,Tazama Namibia inavyoendelea
 
Kwanini uitoe Ethiopia na CAR wakati kila siku Ethiopians wanashikwa kwenye malori wamebebwa kama kuku wakizamia SA?

CAR yenyewe unaijua au umesimuliwa?
 
Je unaamani matatizo ya Tanzania yanachangiwa na dini ya kiislamu,ukichunguza kwa umakini point yako inamashiko,Tazama Namibia inavyoendelea

hata botswana pia >80% Christian vs 0% mulsims, angola >80% Christian vs 0% muslim, angola is just amazing, inaendelea kwa kasi ya ajabu ...
 
Kuna kila hali na kila namna bara la afrika kuanzia afrika magharibi,ukanda wa afrika mashariki,hadi ukingo wa afrika mashariki,tukiitoa ethiopia,afrika ya kati,na ukanda wa nchi zilizo kusini mwa afrika,mataifa yote haya yanapaswa kupokonywa sovereignty zao,watawala wa mataifa haya
1: wanatumia power zao vibaya kuharibu na kudhurumu haki ya kuishi kwa wapinzani wao na wananchi wazarendo wanaoenda kinyume nao

2:Wanatengeneza chaguzi feki na za mchongo kutakatisha uharamu wao kuwa uhalali,hata kwa kumwaga damu

3:Wanatengeneza fukuto kubwa la ujinga na umasikini ili kupora na kurithisha rasilimali za taifa kwa vizazi vyao

4:Wanatumia vyombo vya dola,ambao ni watoto wa masikini kuuwa ndugu zao maskini ili waendelee kusalia madarakani na mapandikizi yao

5:Wanatumia propaganda,kejeli,kumwaga pesa,kuteka,kulawiti,kufira,kubaka na kuua kikatili kwa wanaharati na wapinzani wao wanapojaribu kuwafumbua watu kutoka usingizini

6:Tawala hizi mara nyingi hujifananisha na Mungu,zikiwa madarakani zinaamini wenyewe wataishi milele pia wanahaki ya kutawala na kuishi milele,wengine hawana haki ya kuishi wala kutawala

7;Kuna wapambe wao chawa na vikundi vidogovidogo kutoka kwenye chama Chao kinachotawala,wanavitumia vikundi hivi kuisifu serikali yao inapoambiwa ukweli mzito kuhusu matendo yake haramu,wao wanaisifu na kukejeri na kuwatisha wapinzani wao kuhusu kakatili uhai wao

8:Tawala hizi zinapambana watu waendelee kuwa masikini na wajinga maana ndio mtaji wao wa kutawala kuepusha upinzani mkali.

Lakini mara zote tawala zote za ngozi nyeusi barani Africa hujiita tawala za kidemokrasia,haya ndio maajabu
Pia zinajinathibu mabeberu ndiyo yanataka tugombane wapore uranium yetu,wakati neno Haki kwao ni vita lakini Amani kwao ni usingizi,

Ngozi nyeusi ni ishara ya laana ya ulimwengu,bara la afrika hasa kwenye tawala hizi za ngozi nyeusi linapaswa ligawanywe kwenye makolony na mataifa makubwa ya kigeni,maana muda wa afrika kujitawala ulikuwa bado haujafika
Itaendelea.........
Ukoloni sio mzuri kama unavyoupamba hapa.
 
Heri ya ukoloni kuliko tawala za ngozi nyeusi zilizo uwa watu elfu 23 plus,na bado mbele ya public wakajisifu wameuwa taifa lituliye,bado wakakejeli vijana wazalendo waliouawa ni vibaka wanaopora ulaji wao na familia zao,na bado wakasimanga wafiwa na maiti za vijana wapenda haki,je kwa scenario hii unaamini tawala za sasa za kiafrika ni bora zaidi kuliko tawala za kikoloni ,na je mauaji ya sasa katika nchi za afrika je si zaidi ya yale ya soweto chini ya apartheid???,je ngozi nyeusi huioni kama ni laana kwa matendo yake ya kinyama binadamu kamili aliyetimia kamwe hawezi fanya ujinga huu,unabaka,unalawiti,unafira na unauwa kisa madaraka ya kupita tu???
 
tatizo kubwa liko kwenye nchi ambazo zina muslims wengi na wana political power, wengi means (>10%) lkn zile zisizo na mulism kabisa zinaendelea vizuri tu kama southern afrikan countries, hata kenya walikuwa vizuri lkn wana sizeable muslim population pia na geography yao na barbaric somalia ni tatizo ...
Wewe huwa una shida gani kichwani mwako kuhusu masuala ya dini ?
 
Back
Top Bottom