Kwanini bara la Amerika halijatajwa mahala Popote Kwenye Biblia?

Kwanini bara la Amerika halijatajwa mahala Popote Kwenye Biblia?

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
762
Reaction score
1,688
Ni suala ambalo halina ubishi kuwa kwenye Biblia..hakuna sehemu yeyote inayotaja kitongoji,Kijiji au mji wowote utokao bara la America...
Tunaona mabara mengine hasa Asia, Australia,Ulaya na Africa yametajwa tajwa sana tu kwenye Biblia...Hata baadhi ya mitume kama Mtume Paul wametembelea maeneo mengi ya mabara hayo isipokuwa America....
Nini kilifanya America isahaulike kiasi hicho?
 
Dunia ya kwenye biblia ni mashariki ya kati, baadhi ya sehemu za Afrika, Ulaya na Asia. Wanaita the old world.

Kwa kifupi kwa miaka mingi watu wa maeneo hayo hawakujua kama kuna Amerika au Australia. Ndio maana Columbus alipofika Amerika kwa mara ya kwanza alidhani amegundua njia mpya ya kufika India kupitia Atlantic ocean.
 
Ni suala ambali halina ubishi kuwa kwenye Biblia..hakuna sehemu yeyote inayotaja kitongoji,Kijiji au mji wowote utokao bara la America...
Tunaona mabara mengine hasa Asia, Australia,Ulaya na Africa yametajwa tajwa sana tu kwenye Biblia...Hata baadhi ya mitume kama Mtume Paul wametembelea maeneo mengi ya mabara hayo isipokuwa America....
Nini kilifanya America isahaulike kiasi hicho?

Sio biblia tu. Hata Quran haijataja bara la america.

Wakristo tunatambua kwamba Biblia haijaandikwa na mtu mmoja

Na pia wakristo tunatambua kwamba biblia haijaandikwa na Mungu.

Biblia ni makusanyo ya vitabu vilivoandikwa na watu wengi na kuwekwa pamoja.. ndio maana unakuta kitabu cha marko, kitabu cha yakobo, kitabu cha yohana, Paulo etc ,

Hao watu wote waliandika kutokana na walichokiona walipokuwa wanaishi ambapo ni israel, misri, iraq, syria etc. Hakuna mwandishi aliyewai kupajua america

Tofauti na upande wa pili wanaoamini kitabu chao kimeandikwa na kushushwa na Mungu
 
Sio biblia tu. Hata Quran haijataja bara la america.

Wakristo tunatambua kwamba Biblia haijaandikwa na mtu mmoja

Na pia wakristo tunatambua kwamba biblia haijaandikwa na Mungu.

Biblia ni makusanyo ya vitabu vilivoandikwa na watu wengi na kuwekwa pamoja.. ndio maana unakuta kitabu cha marko, kitabu cha yakobo, kitabu cha yohana, Paulo etc

Hao watu wote waliandika kutokana na walichokiona walipokuwa wanaishi ambapo ni israel, misri, iraq, syria etc. Hakuna mwandishi aliyewai kupajua america

Tofauti na upande wa pili wanaoamini kitabu chao kimeandikwa na kushushwa na Mungu
Ongeza NYAMA KIDOGO pamoja na kuwa biblia kuandikwa kulingana watu kile walichosikia na kukiona pia Kuna watu ambao ndio walikuwa wanaamua kipi kiandikwe na kipi kisiandikwe HADHIRA kaz yetu kupokea tu.
 
Ni suala ambali halina ubishi kuwa kwenye Biblia..hakuna sehemu yeyote inayotaja kitongoji,Kijiji au mji wowote utokao bara la America...
Tunaona mabara mengine hasa Asia, Australia,Ulaya na Africa yametajwa tajwa sana tu kwenye Biblia...Hata baadhi ya mitume kama Mtume Paul wametembelea maeneo mengi ya mabara hayo isipokuwa America....
Nini kilifanya America isahaulike kiasi hicho?
Italian, Galatia, Athens, ni Ulaya
 
Screenshot_20230218-160734_Google.jpg

Kifupi iko ivo yani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msitudanyanye tu kuwa vitabu vya maeneo mengine vimefichwa au kuharibiwa.

Maana hizo dini mbili zimeenea mpaka huko amerika na wamezikubali.

Nenda popote pale yaliyomo kwenye hivyo vitabu viwili yanafanana na hadithi za maeneo mengine uliyoyataja hakuna tofauti sana katika maswala ya Mungu na uumbaji.
Story za biblia hasa agano la kale zinaongelea tu hako kaeneo kadogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia ni hadithi za uzushi tu zilitungwa na wahuni wachache kwa malengo maalumu, huku wakizitumia nchi za Middle east kama chambo la wabeba maudhui ya stori zao za kusadikika.

Hadith zote za quran na biblia ni uongo hazijawai kuwepo.

Tafuta ushaidi dunia nzima hutoona uwepo wa musa, sijui akina ibrahimu, akina suleiman, huyo yesu ndio kabisaa story za kujichanganya,

hata iyo nchi ya ahadi feki(israel) haijawai kuwepo kabla ya kuundwa mwaka 1947 na umoja wa mataifa, wakawajengea na hayo maekalu feki na makaburi feki mnayosema alizikwa yesu, na huko yerusalem ya uongo ambako kabla ya kuundwa mwaka 1947 hapakukuwa na uwepo wa iyo jamii ya waisrael bal wakimbizi wa ulaya walioingia hapo palestina kwa mgongo wa UN.

Tafuta mahala popote dunian hutoona uwepo ama ushahidi wa Falao ama mnaita firauni kuwa aliwaweka utumwani jamii fulan huko misri kwa miaka400, hata hao mafalao wenyewe hawajawai kuwa na historia ya kufanya ushenzi wa kufanya utumwa, bali chuki za waarabu na wazungu waliamua kutunga stori mbaya kuuchafua utawala wa waafrika wa kale waonekane walikuwa washenzi.

Stori za kidini ili uamini inabidi ujitoe ufahamu kweli kweli maana itakulazimu uamini hata mambo unayoona hayamake sense we utaambiwa amini usihoji.

Kuna matukio mengi na makubwa kulko hayo yaliyotajwa na vitabu vyenu vya uongo na ubaguzi.

Ktk historia ya dunia jambo baya na lakutisha ni Utumwa kwa jamii ya waafrika kuharibiwa maisha, kuharibiwa asili yao, utamaduni, kumbukumbu na mamilioni ya watu kupoteza maisha, lkn hutoona hizo biblia zenu na ngonjera za Quran zikiongelea as if yaliyotokea ni mazuri ama vitabu vyenu vinabagua baadhi ya jamii kuelezea maisha yao?

Dunia ina historia kubwa ya muda mrefu tofaut na hizo stori zenu za kijinga za kidini.
 
Ongeza NYAMA KIDOGO pamoja na kuwa biblia kuandikwa kulingana watu kile walichosikia na kukiona pia Kuna watu ambao ndio walikuwa wanaamua kipi kiandikwe na kipi kisiandikwe HADHIRA kaz yetu kupokea tu.
Na ndiomaana hiyo biblia ina stori moja lkn ina version nying jiulize kwanini wasiache maandiko bila kuboresha ama kupunguza vitabu baadhi na biblia imekataza kuongeza ama kupunguza?

Hapo utapata jibu kuwa biblia sio Neno la Mungu wala haijaandikwa na watu wenye Roho wa Mungu, bali iliandikwa na wajanja fulani kwa maslahi ya kisiasa kwa kuiba stori za jamii za zaman na wakayabadiri maandiko hayo na kuleta hizi nakala zenu za uongo mnazoambiwa ni takatifu, wakat huo huo huko Vatican nakala zinaEditiwa mpka zikufikie wew mlengwa juwa kwamba wamekupa wanachotaka wao sio ww unachotaka.
 
Hao watu waliokuwepo huko amerika vitabu vyao vikowapi na vinasemaje??
America ni mali ya watu weusi kabla ya ujio wa hao red indians na baadae kuibuka kwa Wazungu mixer na waafrika afro Americans , na ujuwe hapa dunian kuna maelfu ya dini na imani, nje ya hizo ngonjera zenu za ukristo na uislam mlizokalili kuwa ndio utakatifu.

Wenzenu huko wana vitabu vyenye historia za zaidi ya miaka 60000, je hiyo biblia yenu ya 7000yrs inaelewa nini matukio nyuma ya hiyo miaka kabla yake?

Someni jamani
 
Back
Top Bottom