Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Ni suala ambali halina ubishi kuwa kwenye Biblia..hakuna sehemu yeyote inayotaja kitongoji,Kijiji au mji wowote utokao bara la America...
Tunaona mabara mengine hasa Asia, Australia,Ulaya na Africa yametajwa tajwa sana tu kwenye Biblia...Hata baadhi ya mitume kama Mtume Paul wametembelea maeneo mengi ya mabara hayo isipokuwa America....
Nini kilifanya America isahaulike kiasi hicho?
Umeandika kama utani hvHii inathibitisha adam na eva sio binadamu wa kwanza,huko amerika walikuwepo watu kitambo tu
Ongeza NYAMA KIDOGO pamoja na kuwa biblia kuandikwa kulingana watu kile walichosikia na kukiona pia Kuna watu ambao ndio walikuwa wanaamua kipi kiandikwe na kipi kisiandikwe HADHIRA kaz yetu kupokea tu.Sio biblia tu. Hata Quran haijataja bara la america.
Wakristo tunatambua kwamba Biblia haijaandikwa na mtu mmoja
Na pia wakristo tunatambua kwamba biblia haijaandikwa na Mungu.
Biblia ni makusanyo ya vitabu vilivoandikwa na watu wengi na kuwekwa pamoja.. ndio maana unakuta kitabu cha marko, kitabu cha yakobo, kitabu cha yohana, Paulo etc
Hao watu wote waliandika kutokana na walichokiona walipokuwa wanaishi ambapo ni israel, misri, iraq, syria etc. Hakuna mwandishi aliyewai kupajua america
Tofauti na upande wa pili wanaoamini kitabu chao kimeandikwa na kushushwa na Mungu
Italian, Galatia, Athens, ni UlayaNi suala ambali halina ubishi kuwa kwenye Biblia..hakuna sehemu yeyote inayotaja kitongoji,Kijiji au mji wowote utokao bara la America...
Tunaona mabara mengine hasa Asia, Australia,Ulaya na Africa yametajwa tajwa sana tu kwenye Biblia...Hata baadhi ya mitume kama Mtume Paul wametembelea maeneo mengi ya mabara hayo isipokuwa America....
Nini kilifanya America isahaulike kiasi hicho?
Kwahiyo hata aliyewaumba hakufahamu kuwa kuna watu wengine huko amerika??Hii inathibitisha adam na eva sio binadamu wa kwanza,huko amerika walikuwepo watu kitambo tu
Kwani aliyewaumba ndio aliandika hivyo vitabu vyenuKwahiyo hata aliyewaumba hakufahamu kuwa kuna watu wengine huko amerika??
Hao watu waliokuwepo huko amerika vitabu vyao vikowapi na vinasemaje??Kwani aliyewaumba ndio aliandika hivyo vitabu vyenu
Ni suala ambali halina ubishi kuwa kwenye Biblia..hakuna sehemu yeyote inayotaja kitongoji,Kijiji au mji wowote utokao bara la America...
Tunaona mabara mengine hasa Asia, Australia,Ulaya na Africa yametajwa tajwa sana tu kwenye Biblia...Hata baadhi ya mitume kama Mtume Paul wametembelea maeneo mengi ya mabara hayo isipokuwa America....
Nini kilifanya America isahaulike kiasi hicho?
Msitudanyanye tu kuwa vitabu vya maeneo mengine vimefichwa au kuharibiwa.
Story za biblia hasa agano la kale zinaongelea tu hako kaeneo kadogoMsitudanyanye tu kuwa vitabu vya maeneo mengine vimefichwa au kuharibiwa.
Maana hizo dini mbili zimeenea mpaka huko amerika na wamezikubali.
Nenda popote pale yaliyomo kwenye hivyo vitabu viwili yanafanana na hadithi za maeneo mengine uliyoyataja hakuna tofauti sana katika maswala ya Mungu na uumbaji.
Hakujua🤷🏿♀️Kwahiyo hata aliyewaumba hakufahamu kuwa kuna watu wengine huko amerika??
Wewe umeyefahamu vipi hayo?Hakujua🤷🏿♀️
Na ndiomaana hiyo biblia ina stori moja lkn ina version nying jiulize kwanini wasiache maandiko bila kuboresha ama kupunguza vitabu baadhi na biblia imekataza kuongeza ama kupunguza?Ongeza NYAMA KIDOGO pamoja na kuwa biblia kuandikwa kulingana watu kile walichosikia na kukiona pia Kuna watu ambao ndio walikuwa wanaamua kipi kiandikwe na kipi kisiandikwe HADHIRA kaz yetu kupokea tu.
America ni mali ya watu weusi kabla ya ujio wa hao red indians na baadae kuibuka kwa Wazungu mixer na waafrika afro Americans , na ujuwe hapa dunian kuna maelfu ya dini na imani, nje ya hizo ngonjera zenu za ukristo na uislam mlizokalili kuwa ndio utakatifu.Hao watu waliokuwepo huko amerika vitabu vyao vikowapi na vinasemaje??