Kwanini bara la Amerika halijatajwa mahala Popote Kwenye Biblia?

Tofauti na upande wa pili wanaoamini kitabu chao kimeandikwa na kushushwa na Mungu
Njia ipi hasa walitumia kuandika biblia mpaka wakaweza kufunua mambo ambayo tunaona yanatokea hivi sasa kama yalivyo tabiriwa kwenye biblia kutokea angali Mungu atakuwa hajahusika kama usemavyo...???
 
Njia ipi hasa walitumia kuandika biblia mpaka wakaweza kufunua mambo ambayo tunaona yanatokea hivi sasa kama yalivyo tabiriwa kwenye biblia kutokea angali Mungu atakuwa hajahusika kama usemavyo...???

Kama yapi sijaelewa swali lako. Mimi hoja yangu nimesema biblia haijaandikwa na mungu bali imeandikwa na waandishi wengi tofauti tofauti
 
Imesahaulika kwasababu huko ndipo shetani wa dunia yupo.
 
Ndio lakini muhusika wa hayo maandishi yote ni nani??

Biblia si kitabu cha mwandishi mmoja bali ni kama maktaba ndogo au mikusanyiko ya vitabu vya waandishi wengi. hivyo hakuna mwandishi mmoja. ni mkusanyiko wa dazeni kadhaa za vitabu au maandishi kutoka kwa watu tofauti
 
Hicho kitabu chenye historia zaidi ya miaka 60 elfu kikowapi nikisome mwenyewe sitaki kuhadithiwa na mtu.
 
Biblia si kitabu cha mwandishi mmoja bali ni kama maktaba ndogo au mikusanyiko ya vitabu vya waandishi wengi. hivyo hakuna mwandishi mmoja. ni mkusanyiko wa dazeni kadhaa za vitabu au maandishi kutoka kwa watu tofauti
Safi kabisa, sasa irudie comment yangu ya mwanzo na unipe jibu sahihi kabisa siyo blah blah.
 
Unajadili mambo yanayokuzid umri na uwezo ,
 
America imekuja kuonwa na columbus miaka mingi baadae watu walikuepo ila kujua ndo ilikua shida
 
America imekuja kuonwa na columbus miaka mingi baadae watu walikuepo ila kujua ndo ilikua shida
Columbas kaenda jion kabisa,mfalme wa mali bakar bin mansa ndio alikua wa kwanza kufika huko,bakar ndio alimuachia mansa musa ufalme yeye akatimukia amerca.columbas alikuta mabak ya ngarawa walizotumia na huko waliishi watu weusi kabla ya hao red indians
 
USA imetajwa katika Biblia kutimiza UNABII wa MWANZO na MWISHO wa hii dunia kusambaratishwa na Mungu

Ukisoma vizuuuri tafsiri ya hii dunia tangu kutawaliwa na nchi za Italy (Romans), Uajemi, UK, Ugiriki n.k utaelewa vyema kabisa kupitia vitabu vya DANIEL na UFUNUO.
 
Hivi mkuu inamaana America haipo Ulimwenguni?
Soma biblia MK 16:15-18
 
Kwani zamani izo kufika India ilikuwa ni kazi sana?! Na kwanini India!? Kulikuwa na nini uko..maana ata vasco dagama na yeye alifika bondeni lakini lengo lilikuwa ni india.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…