Kwanini baraka zinamiminika Zambia na siyo Tanzania

Kwanini baraka zinamiminika Zambia na siyo Tanzania

uko sahihi. alitangaza kuimarisha demokrasia hapohapo akamtia mbowe ndani kwa ugaidi wa usd 260. kwamba mbowe alitaka kumuua kiongozi wa serikali (sabaya) ambapo sabaya huyo huyo anamshughulikia kwa uovu......double standard.

Mbele ya wazungu anaonekana kupwaya. haeleweki anasimamia nini.
Here we go again! How do you mean "Mbele ya wazungu anaonekana kupwaya" Nani kakwambia Wazungu ndio kila kitu?
 
Je, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?

Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?
Nilichokiona ni kila mmoja kuwalamba wazungu matako kwa style yake.
 
Huyo wa Zambia anataka haki zaidi na amepambana kufikia alipo
Wa kwetu alikuwemo kwenye system kwa hiyo hakuna jipya labda abadilishe zaidi

Hata Magu alijulikana dunia nzima mpaka Brazil hata Bangladesh na kote ingawa alikuwa ni zao la humo ila alikuwa na uchungu na system ilivyo
Akaja na mbinu mpya na watu wakafurahi kweli kweli

Ila alibadilika na furaha ya watu akaifanya ikawa kilio kwa wengi na dunia ikamsusa tena

Hata huyo usitegemee atakuwa hivyo mda wote
Kwa akili zako unadhani wazungu au hao wamarekani wanajali kuhusu haki au hiyo mnayoit Demokrasia ?

Kama kweli wanajali Demokrasia na Haki basi adui yao namba moja Afrika angekuwa Paul Kagame
 
Kwa akili zako unadhani wazungu au hao wamarekani wanajali kuhusu haki au hiyo mnayoit Demokrasia ?

Kama kweli wanajali Demokrasia na Haki basi adui yao namba moja Afrika angekuwa Paul Kagame

Hilo la wazungu limetoka wapi hapo?

Wote tunajua kila nchi inajiendesha kutokana na watu wake walivyo
Usijidanganye eti kuna democracy bali ni mfumo tu wa nchi unavyotaka uwe
 
Hilo la wazungu limetoka wapi hapo?

Wote tunajua kila nchi inajiendesha kutokana na watu wake walivyo
Usijidanganye eti kuna democracy bali ni mfumo tu wa nchi unavyotaka uwe
Unapoongelea Haki, kwa mzungu unahusisha Demokrasia, sasa mpo wabongo mnaoamini eti mzungu anajali haki zenu.
 
Hakuna lolote zaidi ya kutaka kuwapindua china ila waendelee kuinfluence mambo yao wao.

Wazungu wako tricky sana, utadhani wanakupenda kumbe wana agenda yao
 
Je, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?

Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?
Wewe una shida kwenye ubongo,kwamba yule Rais kuitwa huko ikulu ya Marekani na Bungeni kwako ndio baraka?

Una matatizo ya akili sio bure,Hapo US anafurahia kwa sababu huyu ana malengo wa kimagharibi na sera zao kuliko wale wa awali walioegemea China.
 
Je, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?

Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?
Mataga na return of champions tunaomba majibu
 
Sababu kubwa hapo ni kwamba Marekani wanataka kumchomoa Mchina pale Zambia. Zambia imefika pabaya kwa Mchina. Sasa Marekani na Uingereza hawajafurahishwa na kiasi hicho cha nguvu ya Mchina pale Zambia. Kwa hiyo lazima HH awekwe mtu kati kisawasawa.
Yaani hii ndo sababu kuu na sio vinginevyo. Hawa wanaosema eti demokrasia na blahblah zingine ni nyumbu wa Ufipa wasiofuatilia mambo yanavyoendelea. Halafu kuitwa na WB, IMF na mabeberu wengine ni mwanzo wa mikosi mingi sana. Sera zao ni za kukufanya tegemezi maisha yako yote. Zambia itaachana na Mchina na kujikuta mikononi mwa mabeberu ambao ni hatari zaidi.
 
Back
Top Bottom