MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
MAMA D ubarikiwe sana. Bwashee kauliza kitu kikubwa mnoAsante kwa swali zuri Yohane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAMA D ubarikiwe sana. Bwashee kauliza kitu kikubwa mnoAsante kwa swali zuri Yohane
Hichilema kaupiga mwingiJe, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?
Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?