Kwanini baraka zinamiminika Zambia na siyo Tanzania

Here we go again! How do you mean "Mbele ya wazungu anaonekana kupwaya" Nani kakwambia Wazungu ndio kila kitu?
 
Nilichokiona ni kila mmoja kuwalamba wazungu matako kwa style yake.
 
Kwa akili zako unadhani wazungu au hao wamarekani wanajali kuhusu haki au hiyo mnayoit Demokrasia ?

Kama kweli wanajali Demokrasia na Haki basi adui yao namba moja Afrika angekuwa Paul Kagame
 
Kwa akili zako unadhani wazungu au hao wamarekani wanajali kuhusu haki au hiyo mnayoit Demokrasia ?

Kama kweli wanajali Demokrasia na Haki basi adui yao namba moja Afrika angekuwa Paul Kagame

Hilo la wazungu limetoka wapi hapo?

Wote tunajua kila nchi inajiendesha kutokana na watu wake walivyo
Usijidanganye eti kuna democracy bali ni mfumo tu wa nchi unavyotaka uwe
 
Hilo la wazungu limetoka wapi hapo?

Wote tunajua kila nchi inajiendesha kutokana na watu wake walivyo
Usijidanganye eti kuna democracy bali ni mfumo tu wa nchi unavyotaka uwe
Unapoongelea Haki, kwa mzungu unahusisha Demokrasia, sasa mpo wabongo mnaoamini eti mzungu anajali haki zenu.
 
Hakuna lolote zaidi ya kutaka kuwapindua china ila waendelee kuinfluence mambo yao wao.

Wazungu wako tricky sana, utadhani wanakupenda kumbe wana agenda yao
 
Wewe una shida kwenye ubongo,kwamba yule Rais kuitwa huko ikulu ya Marekani na Bungeni kwako ndio baraka?

Una matatizo ya akili sio bure,Hapo US anafurahia kwa sababu huyu ana malengo wa kimagharibi na sera zao kuliko wale wa awali walioegemea China.
 
Mataga na return of champions tunaomba majibu
 
Sababu kubwa hapo ni kwamba Marekani wanataka kumchomoa Mchina pale Zambia. Zambia imefika pabaya kwa Mchina. Sasa Marekani na Uingereza hawajafurahishwa na kiasi hicho cha nguvu ya Mchina pale Zambia. Kwa hiyo lazima HH awekwe mtu kati kisawasawa.
Yaani hii ndo sababu kuu na sio vinginevyo. Hawa wanaosema eti demokrasia na blahblah zingine ni nyumbu wa Ufipa wasiofuatilia mambo yanavyoendelea. Halafu kuitwa na WB, IMF na mabeberu wengine ni mwanzo wa mikosi mingi sana. Sera zao ni za kukufanya tegemezi maisha yako yote. Zambia itaachana na Mchina na kujikuta mikononi mwa mabeberu ambao ni hatari zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…