kisepi
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 2,121
- 1,114
Sukari ipo? Je, ni bei gani mtaani?
PIA SOMA
- LIVE - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina
PIA SOMA
- LIVE - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatetewa kwa sababu ameikusanyia CCM hela ya kampeni kupitia sakata la sukariAnatetewa Kwa Sababu alibarikiwa na baba Mtakatifu Papa Francisco aketiye kitini pake mtume Petro kule Vatican
Kwani 2020 CCM ilitumia hela?Anatetewa kwa sababu ameikusanyia CCM hela ya kampeni kupitia sakata la sukari
Kumbe zile kampeni kuzunguka nchi nzima nini kilitumika?Kwani 2020 CCM ilitumia hela?
Wewe ulimuona Shujaa Maguful akizunguka nchi nzima?Kumbe zile kampeni kuzunguka nchi nzima nini kilitumika?
Ikulu ililamba mlungulaSukari ipo? Je ni bei gani mtaani
Zile kanga,T shirts, capelo madera na gagulo za kijani na njano mlizokuwa mnatupiwa unafikiri zilikuwa zinachapishwa bureWewe ulimuona Shujaa Maguful akizunguka nchi nzima?
Toka 6000/= mpaka 2500 kg kwa sasa
Iringa,Njombe, Mbeya, Songea 2500/= kwa sasaWapi huko inakouzwa sh 2,500. Jimboni kwake Bashe ni 3,000 - 3,500 kwa kilo.