Kwanini Bashiru anashambuliwa na anatetewa? Kuna mahali tunapishana: Look!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kuna vitu tunapishana:
1. Ukweli wa alichokisema Bashiru
2. Dhamira ya Bashiru katika kuema alichokisema

1. Namba moja hapo juu ni kuwa Bashiru kasema ukweli mtupu, tena mkali kweli kweli. Lakini Je, twende namba mbili

2. Je ana dhamira from the innermost chamber of his heart kuwatetea wakulima? au kuna kitu kinamsukuma nyuma ya pazia? (maana kuna wakati alikuwa mratibu/kinara/muasisi wa kusifia MTAWALA kama hawa wanaomsifia SAMIA). Leo kachukizwa na nini hawa wakisifia kama yeye alivyokuwa anasifia?)

a) Amekemea kusifia watawala, eg kuupiga mwingi and the like. Je ana Audacity/moral authority ya kusema hayo?

To me, nasema to me please, Any discussion about Bashiru's recent utterances should reflect those two central issues above.

http://bit.ly/2Ic3bBc
(Katiba ni kiporo kilicho chcha hakiliki, leo akija akasema katiba si kiporo, kinalika...ametumwa na dhamira yakuwa na Katiba bora au kuna kitu kinamsukuma)
 
Good analysis.
Thanks.
P
 
Achana na dhamira mana ni guessing, huna uhakika , twende na ukweli aliousema , hakuna umeme , hakuna maji , kwenye elimu hakuna mkopo , rushwa imetawala waz waz , mahakaman hakuna haki , ujambaz umekithir , ajali kila Kona , vyakula vimepanda juu hospital zimechoka , BIMA ya Afya ipo mahututi , unaanza vip kusifia utendaji wa raisi ,

Hata kama unachukia utawala uliopita , bado kusifia utawala huu inabd ukapimwe mkojo
 
Najaribu kuangalia hadithi ya Bashiru Ally mtu mkatili kwa waliompinga JPM na utawala wake na kisa cha kwenye Biblia kinacho muhusu SAULI na baadae akageuka kuwa mtume PAULO.
Ukweli aliousema Bashiru umesimama, dhamira haiwezi kupimika maana hilo ni la moyoni.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Achana na dhamira mana ni guessing, huna uhakika
JE AUDACITY NA MORAL AUTHORITY YA KUSEMA ALIYOYASEMA INAIZUNGUMZIAJE?

Kumbuka Judge anatoa hukumu kulingana na ushahidi ulivyotolewa. Hayuko moyoni mwa accused or republic. Tuna ushahidi wa maneno, matendo ya Bashiru kutoka kwa magufuli, hivyo guessing yetu inaweza kuwa sahihi by 100%. Tunam judge from his deeds, no more!
 
Matendo yake ya nyuma...very crucial kum judge! kam alivyosema maria sarungi: Once a traitor, always a traitor. It only takes true repentance and a turn -around to regain public Trust!

Unajua mkuu nimekuwa nasoma comments zako za namna hii katika karibu threads zote zinazohusiana na Dk Bashiru

Unajitahidi sana kuonyesha Bashiru ni MNAFIKI,hivyo basi hata alichokiongea ameongea kinafiki na si vinginevyo (huwa unataja/unatoa sababu zako humu)

Sasa na mimi nikisema wewe ni MNAFIKI zaidi ya Bashiru,na kinachokusumbua si ' unafiki ' ama UADILIFU wa Bashiru bali ni tabia Ya UBINAFSI uliyonayo wewe pamoja na wenzako,

kwa maana ungependa kuona aliyoyasema Bashiru yanasemwa na watu unao WAABUDU wewe na si vinginevyo,vp nitakuwa SAHIHI?

kwa sababu sijawahi kuona hata siku moja humu ukiwakosoa ama kuwapinga kwa lolote hao ROLE MODELS wako ingawa nao ni WANAFIKI na WACHUMIA TUMBO kuliko hata huyo Bashiru !!

Swali la kizushi;

Yale yale aliyoyasema Bashiru,angeyasema Lissu,Lema ama Mbowe,bado ungehoji DHAMIRA na UADILIFU wa msemaji?
 
Kuna vitu tunapishana:
1. Ukweli wa alichokisema Bashiru
2. Dhamira ya Bashiru katika kuema alichokisema

1. Namba moja hapo juu ni kuwa Bashiru kasema ukweli mtupu, tena mkali kweli kweli. Lakini Je, twende namba mbili

2. Je ana dhamira from the innermost chamber of his heart kuwatetea wakulima? au kuna kitu kinamsukuma nyuma ya pazia? (maana kuna wakati alikuwa mratibu/kinara/muasisi wa kusifia MTAWALA kama hawa wanaomsifia SAMIA). Leo kachukizwa na nini hawa wakisifia kama yeye alivyokuwa anasifia?)

a) Amekemea kusifia watawala, eg kuupiga mwingi and the like. Je ana Audacity/moral authority ya kusema hayo?

To me, nasema to me please, Any discussion about Bashiru's recent utterances should reflect those two central issues above.

http://bit.ly/2Ic3bBc
(Katiba ni kiporo kilicho chcha hakiliki, leo akija akasema katiba si kiporo, kinalika...ametumwa na dhamira yakuwa na Katiba bora au kuna kitu kinamsukuma)

Suree[emoji419]
 
Unajitahidi sana kuonyesha Bashiru ni MNAFIKI,hivyo basi hata alichokiongea ameongea kinafiki na si vinginevyo (huwa unataja/unatoa sababu zako humu)
Umeongea vema, umeanza vizuri. Umemaliza kwa hasira and therefore you have lost track! What is on the table ni kauli za Bashiru, not Mbowe and colleagues kama ulivyowataja. Definitely wana mapungufu kama kubadili gia angani na kumleta Lowasa, lakini hawakujihusisha na kuua watu, kuteka watu, kubambikia kesi and the like! ambayo Bashiru aliyasimamia na kubwa ALIMSIFIA SANA MAGUFULI KAMA HAWA WANAVYOMSIFIA SAMIA. LEO IKAWAJE YANAMCHUKIZA? Yanamchukiza toka rohoni au kuna mtu anamtandika Jiwe gizani? I guess you see my point.

Lakini sasa the food on the table ni Bashiru reflecting back on what he did during the golden days of Magufuli! and making reference to his current speech!

Otherwise umeandika vizuri
 
Hakuna sehemu niliyoandika kwa HASIRA,labda tu wewe kwa upande wako umeona hivyo

Nikija kwenye jibu lako,wewe umeamua kumbebesha Bashiru 'msalaba' wa mambo yote ambayo yapo kimfumo zaidi kuliko individually

Hayo mambo yote yapo kabla ya Bashiru,wakati wa Bashiru na yataendelea kuwepo baada ya Bashiru

Vile vile wewe umeamua kuona yale waliyoyafanya kina Mbowe kama mapungu tu ya kawaida lakini kwa wengine kama mimi,walichofanya hao jamaa ni USALITI usiopimika na IMPACTS yake mbaya sana (kama unavyoona hali ya kisiasa ilivyo leo hii nchini,ingawa nyinyi kwa upande wenu mmeamua kumlaumu Magu na utawala wake na kuufumbia macho UKWELI kwa kujua ama kutokujua)

Kuna mambo mengi sana naweza kukwambia ni matokeo ya kitendo cha maamuzi yale,ingawa lawama wanapewa wengine kabisaa leo hii

Binafsi nilijifunza kitu kikubwa kwa maamuzi yale, ingawa niliumia mwanzoni lakini baadae nilikuja kufurahi kwa kuujua ukweli kabla ya kuwa "too late"
 
Nikija kwenye jibu lako,wewe umeamua kumbebesha Bashiru 'msalaba' wa mambo yote ambayo yapo kimfumo zaidi kuliko individually
Perfectly fine ni ya kimfumo, sawa kabisa nakubaliana na wewe. BUT, Ukiona kuna maovu kwenye utawala unajiondoa! Hakufanya hivyo, and therefore he is part and parcel of the atrocities committed, an accomplice of the crime....
 
Rais wa sasa alikuwa sehemu ya mfumo katika serikali iliyopita,hii ina maana kwamba na yeye ni muhusika mkuu katika yale yote unayombebesha Bashiru leo hii

Sasa niambie kwa nini leo viongozi wako wanakwenda kufanya nae vikao mtu wa namna hii ?
 
Matendo yake ya nyuma...very crucial kum judge! kam alivyosema maria sarungi: Once a traitor, always a traitor. It only takes true repentance and a turn -around to regain public Trust!
Traitor wa nani Sarungi Sasa hivi ni shabiki au mfuasi wa nani Sarungi ni chadema na Aishi maisha yake, hata Samia anamkosoa Sarungi ana credibility ipi ya kuwa ni control factor yako
 
Najaribu kuangalia hadithi ya Bashiru Ally mtu mkatili kwa waliompinga JPM na utawala wake na kisa cha kwenye Biblia kinacho muhusu SAULI na baadae akageuka kuwa mtume PAULO.
Ukweli aliousema Bashiru umesimama, dhamira haiwezi kupimika maana hilo ni la moyoni.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

..Dr.Bashiru ajitokeze na kutubu kwamba alikosea kusimamia na kuunga mkono ukandamizaji wakati alipokuwa Katibu Mkuu wa Ccm.

..Kwa maoni yangu, huo utakuwa sio uungwana tu, bali pia ushujaa. Na ninaamini baada ya hapo atakuwa na uhalali wa kusema kwa uhuru na kutetea hoja kama hizo alizozisema.

..Bashiru anaandamwa na wingu la rekodi yake ya ukandamizaji wakati akiwa Katibu Mkuu wa Ccm.
 
Kuna vitu tunapishana:
1. Ukweli wa alichokisema Bashiru
2. Dhamira ya Bashiru katika kuema alichokisema

1. Namba moja hapo juu ni kuwa Bashiru kasema ukweli mtupu, tena mkali kweli kweli. Lakini Je, twende namba mbili

2. Je ana dhamira from the innermost chamber of his heart kuwatetea wakulima? au kuna kitu kinamsukuma nyuma ya pazia? (maana kuna wakati alikuwa mratibu/kinara/muasisi wa kusifia MTAWALA kama hawa wanaomsifia SAMIA). Leo kachukizwa na nini hawa wakisifia kama yeye alivyokuwa anasifia?)

a) Amekemea kusifia watawala, eg kuupiga mwingi and the like. Je ana Audacity/moral authority ya kusema hayo?

To me, nasema to me please, Any discussion about Bashiru's recent utterances should reflect those two central issues above.

http://bit.ly/2Ic3bBc
(Katiba ni kiporo kilicho chcha hakiliki, leo akija akasema katiba si kiporo, kinalika...ametumwa na dhamira yakuwa na Katiba bora au kuna kitu kinamsukuma)
Hapa sio mbinguni,kila mmoja ana mapungufuyake,kuhoji kwamba eti ana audacity/ moral outhority it's just nonsense.!
Let's focus on the truth ndio tutaiokoa nchi yetu.
 
Yaani watanzania Wengi wepesi wa kuchotwa na wanasiasa wanaobadili jezi kila siku ....
Action speak louder than words...
Matendo yake awamu ya tano ndo yanamhukumu
 
Binafsi nitazungumzia ukweli wa alichokisema Bashiru

Tukiweka unafiki pembeni na kuacha kufananisha tawala hizi mbili ni ukweli usiofichika kabisa kwamba Dr Bashiru kaeleza ukweli.

sasa hizi mambo yamekuwa magumu sana mtaani maji,umeme,mikopo kwa wanafunzi wa chuo kutoka bodi ni kizungu mkuti wanafunzi hawajaingizia pesa mpaka sasa ninavyoandika,nchi imepigwa na taharuki kali sana maji kuna wananchi ni mwezi wa pili sasa wananunua maji maisha ya wananchi wengi yamekuwa ya mashaka huku walamba asali wamekazana kusifia wakti kiuhalisia hakuna cha kusifia.
 
Hapa sio mbinguni,kila mmoja ana mapungufuyake,kuhoji kwamba eti ana audacity/ moral outhority it's just nonsense.!
Let's focus on the truth ndio tutaiokoa nchi yetu.
Basi you are useless kwa kauli ya mbinguni! Are you sure mbingu zipo? Truth ni kuwa ali- engineer mauaji or in short atrocities zite zilizokuwa commited na Jiwe
 
Rais wa sasa alikuwa sehemu ya mfumo katika serikali iliyopita,hii ina maana kwamba na yeye ni muhusika mkuu katika yale yote unayombebesha Bashiru leo hii

Sasa niambie kwa nini leo viongozi wako wanakwenda kufanya nae vikao mtu wa namna hii ?
Retired usikimbie uzi wako mwenyewe, hakika umekuwa mwepesi kihoja ikilinganishwa na huyu mwamba kwakina itafakari, wanasiasa siraha yao ni ulimi, Mwenzetu kaitumia hiyo silaha regime mpya penda sifa pia na kujiona ipo sahihi, walikuwa wakimbeza sana Magufuli kuwa mkono wa chuma and so on and so forth, turn of events, they have become even worse than the previous regime…
 
Back
Top Bottom