Kwanini BBC swahili inahimiza Islamic State wamehusika Urusi wakati Urusi inasema Ukraine ndio wahusika?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Kwanini BBC Swahili inahimiza Islamic State wamehusika shambulio la Urusi wakati serikali ya Urusi inasema Ukraine ndio wahusika? Warusi wanahimiza Ukraine ndio wahusiks lkn BBC swahili hawataki kuripoti hivyo.

Kwanini BBC hataki ripoti badala yake wanayo yao mfukoni?
 
Propaganda za HAMASI zimewashinda sasa mmehamia UKRAINE.
 
Propaganda za HAMASI zimewashinda sasa mmehamia UKRAINE.
Russian President Vladimir Putin has delivered a public address, calling the attack a barbaric act of terrorism and vowing to punish the perpetrators. He also accused Ukraine of preparing a "window" to help the suspects escape. Kyiv has staunchly denied any role in the attack
 
Putin hajasema Ukraine wamehusika, amesema walikuwa wanakimbilia mpakani mwa Ukraine na kuna watu huko Ukraine walikuwa wanawasiliana nao, hii ni taarifa tata ili kuwakanganya watu na kuficha uzembe wake kwa kudharau onyo la US.

Huo uchunguzi Putin aliufanya kwa muda gani? Hata kama ingekuwa kweli ndio hivyo, kuwasadia hao watu kutoroka sio lazima na wala haiwezi kumaanisha wao ndio waliwatuma, inawezekana Ukraine akawa anafuata tu ile kanuni ya "adui wa adui yako ni rafiki yako" hivyo wakaamua kuwasaidia.
 
Hao bbc wamefanya lini
 
Putin hajasema Ukraine wamehusika, amesema walikuwa wanakimbilia mpakani mwa Ukraine na kuna watu huko Ukraine walikuwa wanawasiliana nao, hii ni taarifa tata ili kuwakanganya watu na kuficha uzembe wake kwa kudharau onyo la US.
Kama watu waliokuwa wanafanya naoawasiliano wako Ukraine ni wazi watu wa usalama wa Ukraine walitambua uwepo wao
 
Kama watu waliokuwa wanafanya naoawasiliano wako Ukraine ni wazi watu wa usalama wa Ukraine walitambua uwepo wao
Unajuaje kama Marekani walizipata taarifa zilizopuuzwa na Urusi kutoka kwa watu wa Usalama wa Ukraine??
 
Washambuliaji waliokamatwa hawajataja km ni wanachama wa isis wanasema tu wamelipwa wafanye shambulio
isis ndo wamekir mbona mnajitia uchiz , ukraine mnaiwaza sn , kama ukraine anaweza fanya hivyo kwann hawakufanya hivyo tangu zamani
 
Putin ye aendelee kugonga palepale kwenye ugoko wa ukraine watajisema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…