Kwanini BBC swahili inahimiza Islamic State wamehusika Urusi wakati Urusi inasema Ukraine ndio wahusika?

Kwanini BBC swahili inahimiza Islamic State wamehusika Urusi wakati Urusi inasema Ukraine ndio wahusika?

Lakini hata nikikubali hoja zako zote bado hilo halioneshi Ukraine imehusika.

Zaidi, linaonesha ISIS imehusika na kudai responsibility.

Sasa kama Ukraine ndiyo iliyohusika, imekuwaje ISIS i claim responsibility?
Sijasema kuwa Ukraine wamehusika! Soma vizuri post yangu
 
Sijasema kuwa Ukraine wamehusika! Soma vizuri post yangu
Sijasema umesema Ukraine wamehusika.

Nasimamia upande wangu, nilipoanza kumueleza mtoa mada kwamba Russia wanafanya propaganda za kivita kusema Ukraine wamehusika, wakati inaonekana ISIS ndio waliohusika mpaka wamedai responsibility.

Bila kujali walioshikwa wamesemaje.

Yani hata kama walioshikwa ni maigizo tu, bado ISIS kudai responsibility inatuonesha wamehusika wao.

ISIS huwa hawa claim responsibility kwenye vitu ambavyo hawajafanya.
 
Islamic state hapa ni 'scapegoat' tu.Kuna nyang'au katengeneza huu mchezo halafu kakaa pembeni.
 
Islamic state hapa ni 'scapegoat' tu.Kuna nyang'au katengeneza huu mchezo halafu kakaa pembeni.
Maneno ya vijiweni yasiyo na uthibitisho kila mtu anaweza kusema.

Yani ukitaka c9nspiracy theories hapa unaweza hata kusema Putin ndiye kapiga hapo, na haitakuwa mara ya kwanza kwa habari kama hiyo kudaiwa hivyo.

Vigumu ni kuelezea mambo kwa ushahidi.
 
Back
Top Bottom