Nasimamia upande wangu, nilipoanza kumueleza mtoa mada kwamba Russia wanafanya propaganda za kivita kusema Ukraine wamehusika, wakati inaonekana ISIS ndio waliohusika mpaka wamedai responsibility.
Bila kujali walioshikwa wamesemaje.
Yani hata kama walioshikwa ni maigizo tu, bado ISIS kudai responsibility inatuonesha wamehusika wao.
ISIS huwa hawa claim responsibility kwenye vitu ambavyo hawajafanya.