Wewe umeshiba bia?Njaa itakuua
Noo, picha ya kawaida tuulitaka wawe picha ya sheikh majini?
Wakiweka kaburi lisilo ja msalaba mwingine anaweza kuhisi tuta tu na ndio maana katika mambo mengi ya media huwa wanapenda tumia kaburi lenye msalaba kuliko lisilo na msalabaNauliza tu.
Picha hii ambayo wameweka ktk website ya bbc swahili.
Sio kwamba kuonesha mkiristo muathirika?Wakiweka kaburi lisilo ja msalaba mwingine anaweza kuhisi tuta tu na ndio maana katika mambo mengi ya media huwa wanapenda tumia kaburi lenye msalaba kuliko lisilo na msalaba
hahahahahaha,hivi sheikh majini alifanyiwa kisomo ?Noo, picha ya kawaida tu
Sidhani, hata bongo movie wenyewe wakiwa wanaigiza akina hemed wenyewe waislam ndoa wanazifunga kanisani kulia wanalilia kwenye makaburi yenye misalabaSio kwamba kuonesha mkiristo muathirika?
Hapa tunazumgumzia sensitive issues, sio bongo movieSidhani, hata bongo movie wenyewe wakiwa wanaigiza akina hemed wenyewe waislam ndoa wanazifunga kanisani kulia wanalilia kwenye makaburi yenye misalaba
Mauaji ya Oct 29 yana udini kwa asilimia 90%Nauliza tu.
Picha hii ambayo wameweka ktk website ya bbc swahili.
YanaingizwaMauaji ya Oct 29 yana udini kwa asilimia 90%
Ni shirika la kutoka nchi ya kikafiri. Sasa tuwekee ya Al JazeeraNauliza tu.
Picha hii ambayo wameweka ktk website ya bbc swahili.
Kubwa sana ktk vyombo vya habarikatika vitu vyote vya kujadili we umeona msalaba tu,fala kweli
Huoni hapo inasoma binti Maria Mathew Mkami alizaliwa 2001 ila ilipofika 2025 October 29, bila kutarajia uhai wake ulikatishwa ghafla akafa akamuacha mama yake au haujui kusoma lugha ya picha?Noo, picha ya kawaida tu
Kwa hivyo , hakuna muislam aliekufa?Huoni hapo inasoma binti Maria Mathew Mkami alizaliwa 2001 ila ilipofika 2025 October 29, bila kutarajia uhai wake ulikatishwa ghafla akafa akamuacha mama yake
Usingize waislam, kama wakiristo wanapenda mambo yenye tija , mbona kibiriti tu unachotumia madein Somalia? Elimu yako unaitumia wapi?waislam wanasumbuliwa na mambo yasiyo na tija kabisa