mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Makala ina muhusu marehemu mkristo ukitaka wawwke picha gani?
Ewe kijana WA lumumba
Ewe kijana WA lumumba
Kafa Peke yake?Makala ina muhusu marehemu mkristo ukitaka wawwke picha gani?
Ewe kijana WA lumumba
Nae sialikufa kwenye hayo machafuko?au ndio kusema mna lenu jamboulitaka wawe picha ya sheikh majini?
Najaribu kukuelewesha kuwa katika media hayo ni rahisi kuonekana kuwa ni makaburi kuliko yasiyokuwa na mark yoyoteHapa tunazumgumzia sensitive issues, sio bongo movie
Kwa hio ulitaka waweke kaburi la Muislamu?Kwa hivyo , hakuna muislam aliekufa?
Jibu swaliKwa hio ulitaka waweke kaburi la Muislamu?
kafanyiwa kisomo?Nae sialikufa kwenye hayo machafuko?au ndio kusema mna lenu jambo
Tuanze walioongoza hayo maadhimisho ni dhehebu gani na kipi kitambulisho chao?Nauliza tu.
Picha hii ambayo wameweka ktk website ya bbc swahili.
Kaburi ni kaburi tuu au ulitaka waweke alama za kuchoma miili?Nauliza tu.
Picha hii ambayo wameweka ktk website ya bbc swahili.
Wamekufa watu wangapi?Kafa Peke yake?
Ungetuma picha la kaburi la mama yako waweke
Kafiri maaluun weyeUngetuma picha la kaburi la mama yako waweke
"Vijana waislam msiende kuandamana, sababu waliouwawa October 29 ni wakiristo " - Sheikh Ibrahim Bakonzi, kiongozi mwandamizi wa Waislam Tanzania
Ulitaka waweke picha ya nani?
Peleka picha ya kaburi lako waambie waiweke, BBC hawawezi kuweka picha yenye jina bila idhini ya muhusika.
Eurocentric!
Wazanzibar wanasema nao wamelipiza kuwauwa watanganyika, sasa unafikiri wameuwa waislam wenzao?