Kwanini BBC Swahili kuombeleza October 29, wameweka kaburi la picha yenye msalaba?

Wakiweka kaburi lisilo ja msalaba mwingine anaweza kuhisi tuta tu na ndio maana katika mambo mengi ya media huwa wanapenda tumia kaburi lenye msalaba kuliko lisilo na msalaba
Sio kwamba kuonesha mkiristo muathirika?
 
Sidhani, hata bongo movie wenyewe wakiwa wanaigiza akina hemed wenyewe waislam ndoa wanazifunga kanisani kulia wanalilia kwenye makaburi yenye misalaba
Hapa tunazumgumzia sensitive issues, sio bongo movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…