Nauliza tu
Picha hii ambayo wameweka ktk Website ya BBC Swahili
View attachment 3701305
Eurocentric!
Vitu vya, kawaida, tu, waislam hawalii kwa sababu aliyeua si islam mwenzao, kama ambavyo wakati wa, Mkapa alipoua kule zenj, wakristo walikaa kimya, ni kupokezana vijiti tu!
Matukio yoyote yanayoichafua Israel, ukristo, Al Jazeera huyapa nafasi kubwa, ila Yale yanayo uchafua u Arab/u islam, human, wanspita kama hawaoni,kuna migaidi ya kiislam iliua wakrsto kule Jordan, Al Jazeera/Qatar kwenye report zao, wanasema "two gunmen" Sio islamic terrorists,
Kuna yule rubani alimshambulia mwenzie kwenye ndege, kwa, shoka, Al Jazeera mpaka Leo, hawakutaja jina lake, wamepiga kimya, hawasemi kwa MBA, alimwambia mwenzie nishikie kwa much naenda kuswali, kumbe anaajenda ya Siri,
Al Jazeera hawaonyeshi maisha mazuri ya muslim/Arabs raia wa Israel wanavyoishi ndani ya Israel, lingsnisha na wakristo kwenye nchi za, ki Arab!
Hawajawahi kusema wayahudi waliokuwa Iraq, Yemen, Iran, Sylvia, Jordan, walienda wapi!