Salaam! Huko mahospitalini tunaona kuwa gharama za baadhi ya vipimo ni za chini na nyingine ni za juu na vingine juu sana. Hii inapelekea hata baadhi ya vifurushi vya Bima za Afya kutokujumuisha baadhi ya vipimo kutokana na gharama kuwa juu kuliko vingine.
Swali langu ni napenda kujua ni kwanini baadhi ya vipimo hivyo ni kubwa sana? Naelelewa kuwa baadhi ya mashine za kufanyia vipimoa hivyo zipo juu lakini bado sijajua kwanini wanaohitaji vipimo hivyo walipe zaidi. From the business point of view, ningeweza kusema kuwa
1. Tunahitaji wateja walipe zaidi ili kurudisha gharama za ununuzi na kuanza kupata faida,
2. Labda mashine zinatumia raw materials/resources ambazo kuzipata ni gharama kubwa hivyo wateja walipe zaidi,
3. Gharama za kuwalipa wataalamu wa mashine hizo ni juu kuliko mashine nyingine
4. Tunahitaji kukusanya hela kwa ajili ya kununua mashine nyingine
5. Gharama za matengenezo ni kubwa sana kuliko kwa mashine nyingine.
6. Labda mashine ilinunuliwa kwa mkopo hivyo wateja walipe ghali angalau hadi deni lilipwe.
Lakini kama vigezo ni hivi, sidhani kama kwa upande wa hospitali za serikali zilipaswa kuwa juu pia.
Naomba mnielimishe, baada ya kununua mashine husika, kwanini gharama hizi ziwe juu SANA?? Najua zina uwezo mkubwa zaidi lakini je kwani kama vifaa ni vyetu ni lazima kila chenye uwezo mkubwa kiwe cha gharama kubwa zaidi? (yaani kiwe kigumu kufikika) Kitu chenye uwezo kubwa hakiruhusiwi kuwa cha gharama nafuu? Je, ni chema chajiuza na kibaya chajitembeza?
P.S: Nimekumbuka ile stori ya mzungu aliyekuja kufungua kampuni kwetu, akapanga kumlipa mwajiriwa shs 100 lakini msaidizi wake aliye mzawa akwambia, no need, huku watu hulipwa 30 tuu.
Naomba kuelimishwa tafadhali. Ahsanteni.