Kwanini bei ya Volkswagen iwe juu wakati zinatengenezwa Rwanda?

Kwa nini bei ya fuel Zambia ni ndogo kuliko Tanzania wakati Zambia wanapitisha kwenye bandari yetu
 
Nchi yetu inahangaika pa kupatia mapato wanashindwa muangalia Azam na kumuangalia ni kiasi gani decoder ya Azam inamuingizia pesa.

This means kabla Azam hajashtuka kuleta ligi ya Uingereza na akaifanya hivyo singlehandedly kwanini serikali isiingilie kati kwa kumpa back up Azam au mwekezaji mwingine kisha wakawa na hisa kwa mwekezaji na kuingia ubia na Vivendi wamiliki wa Canal + ili kuileta ligi hiyo kwa bei nafuu kabisa?

True DSTV anaweza akawa kaonyeshwa mlango wa kutokea lakini hata hizo nchi zenye Canal + dSTV anaweka gharama reasonable tofauti na hapa. Kifurushi cha juu ambacho kinakupa kila kitu DSTV kinaanzia 89K na kupanda wakati kwa Canal + ni 45,000 tu.

Vitu vidogo vinamatter kwakua vinaonyesha ni jinsi gani Taifa linafikiria.
 
wafanya biashara wa magari changamkieni fursa hiyo.
binafsi naangalia utaratibu wa kwenda kabisa Rwanda nikanunue hukohuko
 
wafanya biashara wa magari changamkieni fursa hiyo.
binafsi naangalia utaratibu wa kwenda kabisa Rwanda nikanunue hukohuko
Na Gari hizo ni LHD,fanya wakutengenezee special order RHD.
 
Angalau kidogo hii inawasaidia kupunguza unfavorable balance of payment.
 
Hapo ni kama wewe umeagiza kabati na lipo kwenye box [emoji403] ukaanza kuunganisha tu

Thamani haiwezi kushuka kwa sababu ni mjerumani na sio Mrundi
 
Hapo ni kama wewe umeagiza kabati na lipo kwenye box [emoji403] ukaanza kuunganisha tu

Thamani haiwezi kushuka kwa sababu ni mjerumani na sio Mrundi
hapana.
Rwanda wamepewa leseni (under license) na kampuni inayo tengeneza hayo magari, hivyo kila kitu kinafanyikia hapo Rwanda, kuna wataalamu wa kutosha. hivyo gharama inapungua kwa mnyaruwanda na hata kwa majirani kama sisi wa Tz.
 
hapana.
Rwanda wapewa leseni (under license) na kampuni inayo tengeneza hayo magari, hivyo kila kitu kinafanyikia hapo Rwanda, kuna wataalamu wa kutosha. hivyo gharama inapungua kwa mnyaruwanda na hata kwa majirani kama sisi wa Tz.

Ukiangalia bei ya VW Polo UK ni 15,000 sawa na $20,000
Na Rwanda bei ya Polo ni $23,000
Sidhani kama kuna pungufu hapo
Labda utanifungua macho hapo
 
Kwanini bei ya Condom ni rahisi wakati inatengenezewa MAREKANI?
 
Kwanini bei ya Condom ni rahisi wakati inatengenezewa MAREKANI?
Kiwanda cha Arusha General Tyre kipindi kilipo kuwa kina zalisha matairi bei zilikuwa chini sana, ila wafanya biashara wa matairi wakakihujumu ili wauze matairi kwa bei ya juu.
kukosekana kwa uzalendo pia kunarudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu. watu wachache kwa kujali matumbo yao.
viwanda vyetu vya ndani vikiongeza uzalishaji wa kila bidhaa lazima bei itashuka.
 
Nchi hii mzalendo alikuwa Nyerere pekee, wengine ni wakoloni weusi.
 

Wewe hujui diesel na petrol bei Dar juu kuliko Lusaka?
 
Hatua yakuunganisha vitu vya watu ndo hatua
Unakukumbuka mto wa mbu paliasisiwa nn na Ccm mlifanya nn, Tunataka vyetu madini chuma tu nayo afrika duniani hakuna.. Vyama vikongwe vinatuchelewesha we need new fikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…