Kwanini bei ya Volkswagen iwe juu wakati zinatengenezwa Rwanda?

Kwanini bei ya Volkswagen iwe juu wakati zinatengenezwa Rwanda?

watanzania kazi yetu ni kuchonga maneno na kupiga fitina na majungu. tubadilike jamani, unakuta wasomi wazima walio elemika wamekabidhiwa dhamana hamna kitu!!

kwa sasa basi tuwe soko kwa ndugu zetu wa Rwanda, tuanze kuagiza Magari hayo ili angalau tyuwaunge mkono jirani zetu badala ya kuagiza magari kutoka Japani.
Subiri maneno mengi na ujuwaji mwingi watakavyo anza kuchonga!
Jesh pia libadilike sana mana ndo chombo naipenda na nakiamini sana ile department aliasisi magufuli isiuawe(science)...
 
Kwanini bei ya Condom ni rahisi wakati inatengenezewa MAREKANI?
Dah! uwezo wako wa kufikir ndio umeishia hapo?
Yan watanzania sijuw nani katuloga?
most of them priority ni ngono tuhh
Aaaargh! tuwe na option nyingine itakayokuwa Sustainable from one generation to another especial on economic, political and social
 
sawa wanunganisha sisi je tunaweza kuunganisha hata pikipiki?

wenzetu Rwanda angalu wamepiga hatua ya kuunganisha hayo magari ya kifahari,

sisi tuna nyumbu lkn nyumbu yenyewe ni kama vile haipo.

Mawaziri wetu na watendaji wengine ktk idara mbalimbali za serikali badilikeni.....tunapaswa tukimbie.

wenzetu Rwanda wana kiwanda cha kutengeneza simu sisi bado tunaagiza kutoka china.

Tanzania kama ikiamua kutumia fursa ya kuwa kisiwa cha amani na utulivu tulipaswa sisi ndio tuwe vinara wa kusambaza bidhaa mbalimbali kwa nchi zinazo tuzunguka.
Kwani pikipiki za mchina si zinakujaga kwenye mabox ya mbao tuna assemble chini ya miembe tu na miamvuli yao ya SanLG
 
Kutoka Japan tena,hiyo ni VW mkuu...!
hivi hapa tz hakuna wafanya biashara wenye uwezo wa kuunganisha gari za kifahari hapahapa tz, naamini wapo mabiloonea kama mzee wetu Bakhresa, Mo. au hakuna faida kwenye hii business?
 
Back
Top Bottom