kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Jesh pia libadilike sana mana ndo chombo naipenda na nakiamini sana ile department aliasisi magufuli isiuawe(science)...watanzania kazi yetu ni kuchonga maneno na kupiga fitina na majungu. tubadilike jamani, unakuta wasomi wazima walio elemika wamekabidhiwa dhamana hamna kitu!!
kwa sasa basi tuwe soko kwa ndugu zetu wa Rwanda, tuanze kuagiza Magari hayo ili angalau tyuwaunge mkono jirani zetu badala ya kuagiza magari kutoka Japani.
Subiri maneno mengi na ujuwaji mwingi watakavyo anza kuchonga!