Mkuu wangu hili nalo neno!....Sidhani kuna sababu ya maana na inashangaza sana, pengine tunafuata sheria za Uingereza. Bendera ya Taifa inatakiwa kupepea muda wote, tunapoishisha usiku ina maana kwamba hata Taifa letu huenda kulala..Ndugu wana JF,
Ninaswali ambalo nimekuwa najiuliza kwa muda bila kupata jibu.
Je ni kwa nini Bendera upandisha asubuhi - saa 12, na ikifika jioni saa 12 ushushwa?. Yawezekana wengi mnafahamu ni kwa nini, hivi msinihukumu kwa kutokujua kwangu, bali mnipe jibu.
Nawakilisha.
mkuu wangu hili nalo neno!....sidhani kuna sababu ya maana na inashangaza sana, pengine tunafuata sheria za uingereza. Bendera ya taifa inatakiwa kupepea muda wote, tunapoishisha usiku ina maana kwamba hata taifa letu huenda kulala..
na kwanini tuwe tunasimama ikishushwa na kupandishwa?na umbali gani unatakiwa usimame au usisimame
inanikera sana hii kitu
Hivi bendera ikipeperuka usiku nani ataiona?
ni PM nikupe dealMimi pia sifahamu kwa nini, mbona bendera zote zilizo umoja wa mataifa hazishushwi, itakuwa haina ulazima fulani.
Kwani imewekwa ili ionwe au inakazi yake maalum,katika kazi zote za bendera hakuna sehemu panaposema bendera imewekwa ili ionwe