Kwanini bendera hupandishwa saa 12 asubuhi na kushushwa saa 12 jioni?

Kwanini bendera hupandishwa saa 12 asubuhi na kushushwa saa 12 jioni?

Waluu naomba kuuliza kwa nini bendera ya TAIFA hupandishwa saa kumi na mbili asubuhi na kushushwa saa kumi na mbili jioni?

asnteni kunijuza kwani kuuliza si ujinga
Okay nitakujibu hivi...

Kwa mujibu wa sheria na taratibu zetu shughuli za serikali huanza mawio mpaka machweo ya jua yaani Asubuhi SAA 12 mpaka jioni SAA 12 hapo ndipo mwisho wa shughuli za serikali hivyo bendera hushushwa muda huo...

Baada ya bendera kushushwa viongozi wa kiserikali akiwemo rais hatakiwi kuwa nje ya eneo lake kwa shughuli ya kiserikali.
 
hii ni ya marekani
"No disrespect should be shown to the flag of the United States of America." Section 8

"The flag represents a living country and is itself considered a living thing." Section 8j

Read the full Flag Code
 
No disrespect should be shown to the flag of the United States of America; the flag should not be dipped to any person or thing. Regimental colors, State flags, and organization or institutional flags are to be dipped as a mark of honor.
(a)
The flag should never be displayed with the union down, except as a signal of dire distress in instances of extreme danger to life or property.
(b)
The flag should never touch anything beneath it, such as the ground, the floor, water, or merchandise.
(c)
The flag should never be carried flat or horizontally, but always aloft and free.
(d)
The flag should never be used as wearing apparel, bedding, or drapery. It should never be festooned, drawn back, nor up, in folds, but always allowed to fall free. Bunting of blue, white, and red, always arranged with the blue above, the white in the middle, and the red below, should be used for covering a speaker’s desk, draping the front of the platform, and for decoration in general.
(e)
The flag should never be fastened, displayed, used, or stored in such a manner as to permit it to be easily torn, soiled, or damaged in any way.
(f)
The flag should never be used as a covering for a ceiling.
(g)
The flag should never have placed upon it, nor on any part of it, nor attached to it any mark, insignia, letter, word, figure, design, picture, or drawing of any nature.
(h)
The flag should never be used as a receptacle for receiving, holding, carrying, or delivering anything.
(i)
The flag should never be used for advertising purposes in any manner whatsoever. It should not be embroidered on such articles as cushions or handkerchiefs and the like, printed or otherwise impressed on paper napkins or boxes or anything that is designed for temporary use and discard. Advertising signs should not be fastened to a staff or halyard from which the flag is flown.
(j)
No part of the flag should ever be used as a costume or athletic uniform. However, a flag patch may be affixed to the uniform of military personnel, firemen, policemen, and members of patriotic organizations. The flag represents a living country and is itself considered a living thing. Therefore, the lapel flag pin being a replica, should be worn on the left lapel near the heart.
(k)
The flag, when it is in such condition that it is no longer a fitting emblem for display, should be destroyed in a dignified way, preferably by burning.
 
Okay nitakujibu hivi...

Kwa mujibu wa sheria na taratibu zetu shughuli za serikali huanza mawio mpaka machweo ya jua yaani Asubuhi SAA 12 mpaka jioni SAA 12 hapo ndipo mwisho wa shughuli za serikali hivyo bendera hushushwa muda huo...

Baada ya bendera kushushwa viongozi wa kiserikali akiwemo rais hatakiwi kuwa nje ya eneo lake kwa shughuli ya kiserikali.
asante sana mkuu kwa mchango mujaarab
 
Waluu naomba kuuliza kwa nini bendera ya TAIFA hupandishwa saa kumi na mbili asubuhi na kushushwa saa kumi na mbili jioni?

asnteni kunijuza kwani kuuliza si ujinga
TAFUTA MJEDA UMUULIZE ATAKUPA JIBU STAHIKI
 
Mkuu Amavubi kwa kuongezea jibu lako kwa enery pia serikali siku za Jumamosi na Jumapili ofisi za serikali zinafungwa mbona Bendera zinapepea kama siku nyingine, serikali haifanyikazi usiku si kweli,serikali inafanyakazi 24/7
kuna taasisi za seriikali hazina usabato kam hospitali za umma na mapolisi
 
Waluu naomba kuuliza kwa nini bendera ya TAIFA hupandishwa saa kumi na mbili asubuhi na kushushwa saa kumi na mbili jioni?

asnteni kunijuza kwani kuuliza si ujinga
Ni kwasababu ya taratibu tulizozikuta. Kwahiyo...live with it!
 
Hii nayo ni nembo ya taifa na ipo kwenye Bendera ya Rais
ed168f82d94ee9ed3cb4be455171e3aa.jpg
 
Hi hapa ni Bendera ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Tanzania
30587d45050fd791bde32553886228d3.jpg

Tazama vizuri kuna kitu kimekosekana kutoka kenye Nembo ya taifa jee ni kitu gani?
 
Kwa uelewa wangu mdogo, bendera ya Taifa inaposhushwa wakati huo Jeshi ndio linashika hatamu....
 
Jeshi lipo chini ya Amiri jeshi Mkuu ambaye ni Rais wa nchi kwa mujibu wa katiba ibara ya 148(1)-(3),hivyo nani ambaye hupewa madaraka ya kushika nchi wakati Amiri jeshi Mkuu hajaondolewa madarakani?
 
Salaam wanaJF,

Naomba kujua juu ya bendera yetu ya taifa pendwa la Tanzania.

Katika taasisi nyingi za Serikali ama Wizara karibu zote za Serikali pamoja vituo vya polisi kambi za kijeshi na popote pale unapokuta bendera ya taifa ikipepea, kila ifikapo jioni saa kumi na mbili (6:00) kama sijakosea bendera huwa zinashushwa na kuondolewa katika mlingoti wake na asubuhi hurudishwa katika mlingoti wake.

Wakati huo bendera za vyama vya siasa huwa zipo siku zote katika mlingoti wake usiku na mchana.

Hii ina maana gani? Ni kwamba usiku taifa linalala au linapandishwa muda wa kazi tu?

Naombeni majibu wajuvi wa mambo, tafadhali.
 
Back
Top Bottom