Kwanini bendera hupandishwa saa 12 asubuhi na kushushwa saa 12 jioni?

Kwani imewekwa ili ionwe au inakazi yake maalum,katika kazi zote za bendera hakuna sehemu panaposema bendera imewekwa ili ionwe
oohhh kumbe Bendera ina kazi zake zimeorodheshwa,mi nakuomba hebu tuweke hapa hizo kazi za Bendera ilituzione tafadhali
 
MKUU NAONA WEWE NDIO NTAALAMU NA AVATAR YAKO
Mkuu kwanza naomba nikiri mimi si mtaalam wa mambo haya ila ninavyofahamu Bendera ni nembo/alama ya utambulisho kwa mambo mbalimbali. Avatar yangu nimeweka ikiwa alama ya Utaifa wangu. Hebu soma hapa chini baada ya kuniuliza swali lako nime- Goggle nikapata tafsiri hii:-
[emoji116]
Bendera
Bendera ni kitambaa chenye rangi mbalimbali mara nyingi chenye umbo la pembenne, mraba au pembetatu. Ina kazi ya kitambulisho au alama ya mawasiliano.
Bendera ya Nepal isiyo na umbo la kawaida
Bendera kama kitambulisho
Mara nyingi bendera ni alama ya kitambulisho cha taifa au jumuiya nyingine.
Nchi inaweka bendera yake kwa kuonyesha: hapa eneo letu linaanza; au: leo tunaonyesha bendera kwa sababu ni sikukuu ya taifa. Serikali zinaweza kuweka bendera mbele ya majengo rasmi ikionyesha: hapa ndipo jengo rasmi kama kituo cha polisi, shule, nyumba ya wizara na kadhalika.
Mji una bendera ukiitumia kama serikali ya nchi katika eneo lake.

Klabu ya soka inaweza kuwa na bendera. Bendera ya klabu inaonyeshwa na wafuasi wake uwanjani kwa kusudi la kuwaonyesha wachezaji kuwa wenzao wako.

Bendera vitani
Bendera zilikuwa kati ya alama muhimu vitani. Vikosi mbalimbali vilikuwa na bendera zao zilizowasaidia wanajeshi kutambua jeshi lao liko sehemu gani kama walitengwa na wenzao wengine katika mapigano ya watu maelfu.
Bendera ya Alpha (A)
Bendera ya Bravo (B)
Bendera kama alama ya mawasiliano
Matumizi ya kale kabisa ya mabendera ni kuwasilisha habari. Matumizi haya yanahitaji uelewano kuhusu maana ya rangi zinazoonyeshwa. Rangi mbalimbali pamoja zinaweza kumaanisha maneno, herufi au amri. Bendera zenye rangi hizi zinaonekana kwa umbali wa wastani unaotegemea ukubwa wa bendera. Utaratibu huu uliwahi kutumika kati ya meli baharini tangu karne nyingi.
Hadi leo meli zinatumia mawasiliano ya bendera hata siku hizi za simu na redio. Lakini bendera zinasaidia kama mitambo imeharibika au kama meli mbili zinakutana zisizojua marudio ya redio ya meli nyingine.
Matumizi haya ni kawaida pia katika michezo fulani, kwa mfano mshika bendera kwenye soka au alama ya mwanzo mbioni.
 
asante sana mkuu na umekula LIKE yangu kwa informative insght kama utaweza ku google sasa kwa nini zinapandishwa na kushushwa muda huo maana hayo ni mabishano pia nimayakuta kijiweni nikasema nitayaleta huku kisimani
 
Mkuu ahsante lakini lazima nikiri kwa kweli mi nilipojibu kuwa Bendera inashushwa usiku it was purely kutokana na uwelewa wangu binafsi kuwa usiku huwezi kuiona. Although ukisoma hayo maelezo niliyo post hapo #09 kuna some truth in it,kama bado league inaendelea ngoja nizidi kutafuta/kuuliza tuone kama tunaweza kujazia ziada ya hayo
 
Kwa nini inaheshimiwa sana mpaka kupigiwa saluti?
Ni kweli hupigiwa saluti,hupeperushwa nusu mlingoti,hufunika jeneza akifa kiongozi,kuna nchi bendera zinaruhusiwa kuvaliwa kama pambo na wananchi wake pia kuna nchi mwananchi anaruhusiwa katika mazingira fulani kupeperusha Bendera nyumbani kwake,kupeperusha bendera ofisi za watu binafsi,kupeperusha bendera usiku kama kuna mwanga wa kutosha kufanya ionekane. Kuna kanuni ambazo kila nchi imejitungia kutokana na sababu zao ila nyingi ni zinafanana kama za saluti ni kuonyesha heshima kwa nchi yenu Bendera ikiwa ndiyo nembo ya Taifa lenu.
 
asante sana mkuu na umekula LIKE yangu kwa informative insght kama utaweza ku google sasa kwa nini zinapandishwa na kushushwa muda huo maana hayo ni mabishano pia nimayakuta kijiweni nikasema nitayaleta huku kisimani
Mkuu nimejaribu kuperuzi naona mataifa mengi hawaelezi kwa kina sababu hasa nini,ila nimepata hiki kipande cha Taifa la India imepitisha sheria ya kuruhusu bendera kupeperushwa usiku kwa kuzingatia vigezo vilivyotolewa kimoja wapo naona kinarandana na fikra zangu kuwepo na visibilty
[emoji116]
Now Indian flags can be hoisted during night time also.
In 2009 Indian Parliament enacted a law to enable the hoisting of Indian national flag at any time, provided, the flag post must be a mammoth one and the flag must be a big one, visible from a reasonable distance. Proper illumination shall be provided for its clear visibility.

Flag Code of India - Wikisource, the free online library
Ukiingia kwenye hii link itakusaidia sana kuona utaratibu wa India
Bendera - Wikipedia, kamusi elezo huru
Nimekuongezea na hii link ambayo maelezo yake nilikwisha ya kopi huku nyuma maana najuwa unaweza kuulizwa source ya taarifa zako
The choice is yours Mkuu Amavubi
 
Mkuu Amavubi Hapo chini kuna kipande cha kanuni ya kupandisha bendera usiku cha nchi ya Trinidad &Tobago nacho kinataka kuwepo na floodlit during the night time if possible

[emoji116]
4c3a4341ac73428c8eb1738b92bf0fd9.jpg

This clearly indicate the need be of light is to visualize the flag,let's hope kijiweni wataku understand otherwise i daught!
 
Ni kwamba serikali haifanyi kazi usiku ndo mana ya kushusha bendera, ukikamatwa usiku ukipelekwa hata serikali ya mtaa utalala mahabusu au polisi utalala mahabusu mpaka kuche bendera ikipandishwa utasikia leta lile jitu hapa
 
Ni kweli hupigiwa saluti,hupeperushwa nusu mlingoti,hufunika jeneza akifa kiongozi,kuna nchi bendera zinaruhusiwa kuvaliwa kama pambo na wananchi wake pia kuna nchi mwananchi anaruhusiwa katika mazingira fulani kupeperusha Bendera nyumbani kwake,kupeperusha bendera ofisi za watu binafsi,kupeperusha bendera usiku kama kuna mwanga wa kutosha kufanya ionekane. Kuna kanuni ambazo kila nchi imejitungia kutokana na sababu zao ila nyingi ni zinafanana kama za saluti ni kuonyesha heshima kwa nchi yenu Bendera ikiwa ndiyo nembo ya Taifa lenu.
asante kupanua wigo unaitendea haki Avatar yako
 
Ni kwamba serikali haifanyi kazi usiku ndo mana ya kushusha bendera, ukikamatwa usiku ukipelekwa hata serikali ya mtaa utalala mahabusu au polisi utalala mahabusu mpaka kuche bendera ikipandishwa utasikia leta lile jitu hapa
wangekua wanapandisha saa moja unusu ya serikali na kushusha saa tisa unusu
 
Mkuu Amavubi kwa kuongezea jibu lako kwa enery pia serikali siku za Jumamosi na Jumapili ofisi za serikali zinafungwa mbona Bendera zinapepea kama siku nyingine, serikali haifanyikazi usiku si kweli,serikali inafanyakazi 24/7
 
Back
Top Bottom