Kwanini benki hutoza wateja ada kwa kutoa pesa zao wenyewe?

Hadi bank statement wanachaji hii ishu imenitokea 21/06/021 kwa kweli sina ham nao maana wamenikata pakubwa sana

Sent from my itel A44 using JamiiForums mobile app
Haya mnayolalamikia siyo Bongo tu. Karibu benki zote yapo. Majuu bank statement benki inakutumia statement ya kila mwezi kwa njia ya electronic. Ukienda bank kutaka wakupe unalipia.
 
Mkuu haya ni matatizo ya nchi zinazoendelea tu. USA na developed countries zingine kama unatoa hela kwenye ATM za benki husika ulipo na account yako ni bure. Kuangalia salio benki karibu zote zina apps unacheck tu kiganhani free.
 
Alafu mimi naona viwango vya kutoa vinatofautiana..
Nimetoa 400k wamenikata
Nimetoa 200k wamekata tofauti na ile 400k, ATM hiyo hyo, muda huo huo..naomba viwango basi viwe sawa ndugu zangu NMB na pia tufikirie kuongeza kiwango cha kutoa pesa kwa siku kutoka 1m to 2m eeeh ndugu zangu
 
Hii ikiletwa bongo itaongeza mzunguko wa fedha coz watu watakuwa wana spend sana kwa kujua hela yake iliyoko benki anaweza kuitoa muda wowote bila kuchajiwa chochote
 
Jana nimefanya utafit kila baada ya muda nachungulia salio kwa simu, mara 3 nimekuta lipo the same.weeee mara ya 4 nikakuta 1500 imepungua,wezi sn
Utafiti au ushamba
 
Hoja hii ni ya msingi kabisa. Na kama walivyochangia watu wengi hapo juu kwa nchi zinazoendelea benki huweka free kutoa fedha na baadhi ya huduma nyingine.

Kwa mawazo yangu, zile self service channels zinapaswa kuwa free kutoa hela, ila ukihitaji interaction na officer then may be kuna kulipia kidogo kwa vile unatumia muda wake.

Nadhani kuna kipindi tutakuja kufika huko kwenye free services ingawa zitahamishiwa kwenye maeneo mengine
 
Kumbe watanzania tukitulia tunafikiria vizuri sana?

kimsingi hakuna sababu ya mabenk kuweka makato haya kwa kuwa hela zetu wenyewe wanazizungusha wanatengeneza faida lakini bado ukitoa hela wanakata. Sijui kwanini
 
Una hoja sana miaka ya nyuma kidogo ilikua mtu aliefungua account wa moshi na mpo bank moja ukiweka hela ukiwa mkoa tofauti walikua wanataka ulipie 15,000 Tsh wanasema hela inatumwa mimi nilikua naipinga sana ile mpaka baadae nikasikia imefutwa hela inatumwa bank? Nilikua nawaambia sio parcel hii...
 
Umezungumza vyema ndugu yangu andiko lako lilipaswa lichapishwe peke yake serikali ndo yenye shida wanapiga kodi kwenye kila muamala hii imesababisha mabenk kuwapa mzigo wateja wao
.
.
.kama umesoma uchumi katika elasticity ya demand na suppy ikibadirika mzigo wa kodi hubebwa na final consumer na sio mzalishaji au muuzaji
 
Yan umeongea upuuuzi wa ajabu sna ila sikulaumu yawezekana elimu yako ni ndogo sana na huna ufahamu wa mambo ya uchumi mabank yanatengeneza faida sana kupitia vi laki hivyo unavyovidharau kuna kitu kinaitwa potfollio management bro ni mada pana
 
Yan umeongea upuuuzi wa ajabu sna ila sikulaumu yawezekana elimu yako ni ndogo sana na huna ufahamu wa mambo ya uchumi mabank yanatengeneza faida sana kupitia vi laki hivyo unavyovidharau kuna kitu kinaitwa potfollio management bro ni mada pana
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mtanzania kwa ''utaalam'' tu. Akisoma kidogo nadharia utadhani yeye ndiye mwanzilishi wake. Haya mnayolalamika hapa yote ni upuuzi wa hali ya juu, na yanatokana na kukosa exposure. Mtu kama wewe unaonekana umeenda hivi vyuo vya kata basi umekuwa kama yule kipofu aliyeona mwezi. Kukaa kwangu nje kumenifanya niwe na account kwenye benki mbalimbali. Hizi fees mnazolalamikia haziepukiki kwani ndiyo zinafanya benki ziwepo. Benki siyo kama parishi ya kanisa inayofanya mambo kwa bila faida. Kwa mfano benki moja niliyokuwa na na account, hata kama hakuna fedha kama hujaifunga utachajiwa fee kila mwezi. Vile vile mwenye fedha naye anachajiwa fee kila mwezi.
 
Mkuu nilipokua napingana na wewe ni hapo unapodharau laki tano nikakuona kidogo ufahamu kuhusu mambo ya bank ni mgeni lakin mtoa mada anahoja kama mwanazuoni inabidi utoe hoja za msingi kwanini mtoa mada kafikiria hivyo
 
Mkuu nilipokua napingana na wewe ni hapo unapodharau laki tano nikakuona kidogo ufahamu kuhusu mambo ya bank ni mgeni lakin mtoa mada anahoja kama mwanazuoni inabidi utoe hoja za msingi kwanini mtoa mada kafikiria hivyo
Ndiyo nimesema ni admistration fee na benki nyingi zinachaji.
 
1.Kuweka Facility za ATM za kutosha upate fedha muda unapohitaji
2.Usalama wa pesa hio
3.Ku'update statement yako kadri unavyochukua

Kama ni wizi katunzie nyumbani uache biashara za watu
 
Equity bank ni free kutazama salio. Ila ukitumia mobile banking kwa kutumia line ya tigo
 
Jana nimefanya utafit kila baada ya muda nachungulia salio kwa simu, mara 3 nimekuta lipo the same.weeee mara ya 4 nikakuta 1500 imepungua,wezi sn
Wezi kivipi na kila mara unaangalia salio?.na wao wanahakikisha unapata hio huduma

si mtumie hizi huduma kimahesabu?!

kuna haja gani kucheki salio ovyo ovyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…