Planet FSD
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 455
- 948
Wadau habari za muda. Naomba tusaidiane hapa, maana kuna mtu kanifata kuniuliza kitu ambacho nimeshindwa kumjibu.
Nakumbuka miezi kadhaa iliyopita Waziri Wa Fedha Bw. Mwigulu alichukua maoni ya wadau kuhusiana na tozo za kiserikali kwenye huduma za kibenki ambazo zililalamikiwa sana tangu mwaka huu wa fedha ulipoanza.
Kwa kumbukumbu zangu alitoka hadharani na kusema kuwa hizi tozo katika huduma za kibenki zilionekana na pure double taxation hasa kwenye mishahara ya watu na zilifutwa. Tozo zilibaki kwenye kutoa hela bank na sio kutuma hela.
Sasa huyu kijana anasema yeye ametuma hela kutoka account yake moja ya NMB (matumizi) kwenda nyingine ya NMB (ya akiba) cha ajabu amekuwa charged government levy? Nilishtuka kidogo, sikutaka kumjibu nikamwambia anipe muda. Je, ni mimi sikuelewa kuhusu kufutwa kwa tozo hizi au kuna jambo la siri hapa linaendelea? Maana kiukweli huu ni wizi wa hali ya juu.
Naomba aliyeelewa anisaidie hapa.
https://www.mof.go.tz/uploads/text-editor/files/KAULI YA SERIKALI SERIKALI SEPT 2022_1663668606.pdf