Landrover 109
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 384
- 597
Kuna jirani yangu anafanya kazi ya ulinzi kampuni Fulani analipwa 100000 Kwa mwezi, Kwa njia ya benk juzi alivunja ATM card Kwa hasira baada ya kukatwa 15,000 bila maelezo yaliyonyooka. Wahusika waangalie upya suala la tozo ukizingatia na ugum was maisha na mfumuko wa Bei tulionao.