MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Wapi huko mkuu?Dar es salaam ipi mnaishi nyie, huku kwetu mpaka 1300 tunakunywa beer, ishi na watu vizuri.
Safari gani hiyo inayouzwa 1500??na wapi huko??hiyo bei ta dar inategemea umekwenda sehemu gani,ila hata za bei elekezu zipo sanaMikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji ukilinganisha na mikoani, This is stupid!
Manyoni Singida Dumila Morogoro Songea Ruvuma Kibaha PwaniNimetembea mikoa sehemu za mikoa 8 na kunywa safari kwa mwezi huu sijaona mkoa ambao bia ni bei ndogo kuliko dar. Manyoni, Dumila, Mwanza, Lindi, Songea, Njombe, Dodoma na Kibaha.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama unaona bei kunywa BALIMI
Ulanzi banaMkoani si mnakunywa gongo
Pole, hata Mimi zamani nilikua najiuliza debe la mahindi inakuaje nanjilinji, matombo, laitimi au nyamhongwa ni elfu 4 ila dar ni elfu 20Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji ukilinganisha na mikoani, This is stupid!
Mkuu sehemu zote Dar ni buku mbili kwenda juu, hata kwenye vijiwe vya mangiSasa mkuu unaenda kunywa bia wavuvi camp unategemea uuziwe 1500? Kama hivo nenda kijiwe cha mangi labda
Oyaa mwanangu mpwayungu village[emoji23][emoji23][emoji23]