Kwanini bia ziuzwe ghali zaidi Dar es salaam kuliko mikoani?

Kwanini bia ziuzwe ghali zaidi Dar es salaam kuliko mikoani?

Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji ukilinganisha na mikoani, This is stupid!
Safari gani hiyo inayouzwa 1500??na wapi huko??hiyo bei ta dar inategemea umekwenda sehemu gani,ila hata za bei elekezu zipo sana
 
Nimetembea mikoa sehemu za mikoa 8 na kunywa safari kwa mwezi huu sijaona mkoa ambao bia ni bei ndogo kuliko dar. Manyoni, Dumila, Mwanza, Lindi, Songea, Njombe, Dodoma na Kibaha.
Manyoni Singida Dumila Morogoro Songea Ruvuma Kibaha Pwani
 
Inategemeana na hadhi ya eneo unalokunywa hicho kinywaji, kwamfano Pepsi unayonunua mataani tsh.500, ukienda mlimani city utauziwa Tsh.2000
 
Sasa mkuu unaenda kunywa bia wavuvi camp unategemea uuziwe 1500? Kama hivo nenda kijiwe cha mangi labda
 
Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji ukilinganisha na mikoani, This is stupid!
Pole, hata Mimi zamani nilikua najiuliza debe la mahindi inakuaje nanjilinji, matombo, laitimi au nyamhongwa ni elfu 4 ila dar ni elfu 20
 
Back
Top Bottom