Kwanini Biashara ya Sukari inasimamiwa na Waziri wa Kilimo?

Kwanini Biashara ya Sukari inasimamiwa na Waziri wa Kilimo?

ndiyo limeleta tija na nadhani pia ni muhimu zaidi likaendelea kua chini mamalaka iliyopo chini ya wizara ya kilimo, kwasababa suala la chakula kulifanya kibiashara ni hatari kwa usalama wa chakula na Taufa kwa ujumla...

Chakula na shibe ndio Amani na Furaha ya Familia yoyote ile...
Sasa mbona baada ya kuhamishiwa huko bei imepanda mara dufu ?
 
Sasa mbona baada ya kuhamishiwa huko bei imepanda mara dufu ?
uzalishaji ukiathirika mahitaji na upatikanaji wa huduma husika pia huathirika pakubwa na hivyo jitihada za ziada za makusud huchukuliwa kama ambavyo inafanyika hivi sasa humu nchini. kunapotokea uhaba wa huduma au bidhaa yoyote popote duniani gharama za upatikanaji wake huwa katika viwango vya juu zaid,

hata hivyo serikali ya Tanzania imeshachukua hatua madhubuti kudhibiti hali hiyo, na sasa inafanya kazi kubwa kuhakikisha katika muda mfupi ujao huduma ya sukari inapatikana ya kutosha na kwa uhakika kote nchini..

muhimu ni subra na ustahimilivu kidogo tu....
 
Mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Kilimo cha miwa-Wizara ya kilimo... Sukari - Wiazra ya viwanda...


Cc: Mahondaw
 
Hivi Nchini Tanzania hakuna Wizara ya Viwanda na Biashara , ambayo ndio Mhusika halisi wa Biashara na Viwanda?

Naandika haya kwa Uzoefu, mimi ni Mfanyabiashara na namiliki Kiwanda (siyo cha sukari). Sijawahi kuelekezwa kusaini nyaraka yoyote kwenye Wizara ya kilimo angalau mara chache nimefika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje , hii ni kwa sababu biashara yangu kwa 95% inahusiana na Nchi za kigeni , USA , CANADA , na kwa kiasi England na S.Africa.

Swali langu ni hili. Kwanini Waziri wa kilimo ashughulikie masuala ya Biashara?
Hiyo ni biashara ya maza na msomalii
 
Back
Top Bottom