Kwanini Biashara ya Sukari inasimamiwa na Waziri wa Kilimo?

Sasa mbona baada ya kuhamishiwa huko bei imepanda mara dufu ?
 
Sasa mbona baada ya kuhamishiwa huko bei imepanda mara dufu ?
uzalishaji ukiathirika mahitaji na upatikanaji wa huduma husika pia huathirika pakubwa na hivyo jitihada za ziada za makusud huchukuliwa kama ambavyo inafanyika hivi sasa humu nchini. kunapotokea uhaba wa huduma au bidhaa yoyote popote duniani gharama za upatikanaji wake huwa katika viwango vya juu zaid,

hata hivyo serikali ya Tanzania imeshachukua hatua madhubuti kudhibiti hali hiyo, na sasa inafanya kazi kubwa kuhakikisha katika muda mfupi ujao huduma ya sukari inapatikana ya kutosha na kwa uhakika kote nchini..

muhimu ni subra na ustahimilivu kidogo tu....
 
Mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Kilimo cha miwa-Wizara ya kilimo... Sukari - Wiazra ya viwanda...


Cc: Mahondaw
 
Hiyo ni biashara ya maza na msomalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…