Kwanini biblia na quruan visitumike kumaliza matatizo ya ufisadi,vita,magonjwa,wizi,n.k duniani??

Kwanini biblia na quruan visitumike kumaliza matatizo ya ufisadi,vita,magonjwa,wizi,n.k duniani??

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Habari,

Kama kweli biblia/ukristo na uislam/quruan vina nguvu ya Mungu kwanini vistumike kumaliza matatizo ya vita,wizi,magonjwa,ufisadi,n.k duniani kote na hasahasa Afrika wakati kila leo watu wanajaa makanisani ja miskitini kumuomba Mungu shida ziishe??

Waafrika situkeni mmeshikwa akili
 
Alaf mafisadi wanatumia quruani na biblia kuapishwa hata wakiiba hakuna kinachowapata
 
Hao wenyewe wakina Mwamposa, Gwajiboi, n.k ni matapeli watupu.
 
Habari,

Kama kweli biblia/ukristo na uislam/quruan vina nguvu ya Mungu kwanini vistumike kumaliza matatizo ya vita,wizi,magonjwa,ufisadi,n.k duniani kote na hasahasa Afrika wakati kila leo watu wanajaa makanisani ja miskitini kumuomba Mungu shida ziishe??

Waafrika situkeni mmeshikwa akili
Wanavitumia kuhalalisha wizi. Hauoni jinsi wanavyoitana kwenye futari za kidini na kuwaita viongozi wa dini kwenye mambo yao?

Quran na Bible vinatumika kubariki wizi
 
Back
Top Bottom